Tuna eza organise ka trip wazee wa battle, tukaishia Mikumi then tuka geuka. NDINDA atupe somo la kupiga picha [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kwa maana hiyo inaonyesha ni jinsi gani asilimia kubwa ya wakenya hiyo ndiyo hali yao halisi ya kimaisha ......na hao ndiyo wakenya halisiNdio ni slum kubwa baada ya kibera
[emoji103][emoji103][emoji103]kabisaTuna eza organise ka trip wazee wa battle, tukaishia Mikumi then tuka geuka. NDINDA atupe somo la kupiga picha [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
mamaaaaaaaaaaa pamekaa kama ile scene ya Busan,South Korea kwenye Black panther, VIVA TANZANIA!!!!!!!!!!!!!!
Panapendeza
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Thread imefikisha 4,000,000 views. Noma sana.
uchokozi huowakenya wakiendendelea kushuhudia battle thread ikiendea bila uwepo wao.
View attachment 993450
JPM kafanya la maana sana kuhamisha serikali Dodoma, ukiangalia hapo utaona namna Dodoma inavyochangamkaNdege zinapiga kazi
View attachment 993408
Kwakweli kwa upande wa viwanja tunajitahidi wakuu kwa huu ukanda....Wandugu nauleta kwenu uwanja wa Gombani pemba. Upo vizuri kuliko kiwanja chochote nje ya Nairobi.View attachment 993475View attachment 993476View attachment 993477View attachment 993478View attachment 993479
Sent using Jamii Forums mobile app