Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1][emoji1][emoji1]nakuhusu picha za nairobi wasihofu tutawapostia wenyewe coz tunaijua kindakindaki
 
Hahaaaa
Leta mavituzz ya ifunda tuone mzee
Leta mapichazz mshuaaaa
Ifunda ina majengo ya kale enzi za mjerumani so in fact beto yake na tosa tutapoteza, ukiweka majengo mapya utapoteza historia yake. Ila kikubwa kule tuna karakana za kutosha kufungua kiwanda
 
Wenzako wameelewa hawawezi kuendelea wewe unajifanya mwamba kuja kututukana! Hatuna muda na wewe mtoto ulie zaliwa kutokea mkunduni, ndio maana hoja zako leo mavi, kesho uharo, jana ushuzi
 
Just say a word and i will answer!....i am never afraid of carcasses and neither do i intend to buy your agenda of making Tanzania a witch nation,i wish Tanzania people would wake up from their slumber and put CCM to its death bed!..
Wewe acha unafki, tulivyokua tunahujumiwa madini, usafiri wa anga ukazorota na mengineyo mengi mlikua mnatucheka leo hii tunapambana na tunajenga nchi unajifanya unatutakia mema? wewe njoo uombe uraia utapewa acha kiki
 
wakati huhuo, siasa zao za kikabila zimeshaanza kuchukua nafasi mapema sana kabla ya muda rasmi wa uchaguzi.

sisi wengine tulishatabili kwambwa kabla ya uchaguzi wao wa 2022,lazima mkikuyu atahahikisha mkelenjini william ruto hawai rais wa kenya licha kuwa mtu wa karibu na uhuru kenyatta.
 
hellow comrades,
ni hivi, hawa jamaa wamepaniki baada ya kuona thread inazidi kusonga mbele.

mategemeo yao yalikuwa thread ipoteze mvuto na ife kabisa baada ya wao kususa. ila sasa wanapatwa na hasira kila wakichungulia wanakuta pages zinaongezeka na thread inazidi ku trend.

wengine wanashindwa kuzuia hasira zao, wanaoona bora waje tu kukomenti chochote na matusi ili kupunguza hasira. kumbe hawajui kila unapokomenti unaifanya thread ibaki kwenye trending list.
 
Kijana hujawaikoma majivuno za kijinga? Wewe unakaa Kuwa mtu wa miaka 40+ lakini kuendanisha na jinsi unavyojadiliana humu, NAWAHURUMIA sana wale unaotangamana nao on a daily basis.

Huku bado free comedy tuu. Lakini ukweli itabakia hamuwezani na Kenya.. Labda kwenye uchawi tu
 
Kijana hujawaikoma majivuno za kijinga? Wewe unakaa Kuwa mtu wa miaka 40+ lakini kuendanisha na jinsi unavyojadiliana humu, NAWAHURUMIA sana wale unaotangamana nao on a daily basis.

asante kwa character assassination pia asante kwa comment.

mmesusa na uzi bado unasonga. haki nyinyi ni wajinga.

another comment please... [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…