Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata sija elewa!
 
Mtoa mada yawezekana una point lakini nachelea kusema ulichoandika humu kingi ni pumba
Unapaswa kuelewa kuna utalii wa aina nyingi ukiwemo huo wa "wildlife" ulioubishia.Kivutio kikubwa ni miji iliyopangwa huo ni utashi wako. Huko kuvutia ni secondary, primarily binadamu aliyestaarabika anapaswa kukaa sehemu yenye access ya huduma zote za msingi zikipatikana kiurahisi kwa ufasaha na kwa wkt ikiwepo huduma ya nyumba bora, maji safi,maji taka, umeme, barabara hospitals,mashule,vtuo vya polisi n.k
Afu sio "balabala" ni "barabara" hakuna barabara zisizotengenezeka pia jua barabara zina life span pamoja na kuwa na periodic maintainance ijapokuwa matumizi mabaya ya barabara ikiwemo kutojali uzito wa juu uliopangwa kupita juu yake hupunguza sana maisha yake.
Pia unapaswa kujua kusafiri ni sehemu ya maisha sijui kama ulishawahi kusoma maswala ya Migration kama wewe unavyofurahia huko kwao pia wao wana vitu wanavyovifurahia hapa kwetu.
Tunachopaswa ni kujiangalia na kujitathimini mara kwa mara kama tupo kwny right track au la!!!Tusonge Mbele.
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇

Hii ndio tofauti kati ya Sisi na Jirani zetu kutokana na rasilimali tulizojaliwa ni kama Urefu na Ufupi vs unene na wembamba
jirani zetu wako kwny kundi la ufupi na urefu, wewe kama ni mfupi ni mfupi tu Hata ufanyeje huna namna ya kujirefusha, wkt sisi tuko kwny kundi la unene na wembamba, maamuzi ni yetu kunenepa au kukonda.Its matter of time tu. Let's focus.
 

Huo utumbo wa bata mngeupuuza tu,hata haujui nini unaandika.

Eti tuvutie watalii kwa majengo mazuri[emoji38][emoji38][emoji38],mzungu unamtisha na majengo mazuri au mchina!!kweli??ukijenga majengo mazuri ni kwa manufaa yako si kwa ajiri ya utalii.
 

Wakenya sijui wanapata wapi jeuri ya kujigamba
 
Bora wew umemuelewa....Mimi nimeelewa mstari wa mwisho tu wa hizo blah blah
 
Took this photo in 2015 July 23rd.
My friend liked it because they didn’t believe I took it, They used to call me a green button guy (The auto button on a DSLR camera) which is auto shoot,🤣.



But this photo is a long exposure photo. This photo was taken without a tripod. Put a camera on the sofa and pressed the button . Couldn’t believe it . And it was not even Raw.
My friend liked it and added a moon .
Photo taken at The Kilimanjaro Hotel rooftop bar ( Level 8)
Happy Christmas Eve to all my Tanzanian brothers and sisters and all my Kenyan friends.


Before the moon was added




After the moon Was added

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…