Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh, spati picha...Wa254 watazidi kukimbia hili jukwaa kwa stail hii, Kila kukicha Mnawachapa na kitu kipya.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
sio kwamba kususa kwao hawafatilii, la hasha,wanafatilia kila tunachopost. mda wote wanachungulia hapa. kurudi wanataka ila nafsi zinawasuta. wanajishtukia.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

binafsi sitaki warudi, wabaki nje ya thread wakikodoa mimacho...uzi umetulia sana tangu kuondoka kwao. tunapost bila tension yoyote. so relaxing. [emoji16][emoji16]
 

Yule maid mlevi,nilimfuma sehemu anamlaumu mwenzie kwa kukoment katika huu uzi,nikamuuliza"kumbe unafuatilia hatua kwa hatua za ule uzi???"

Alivyogundua kajivua nguo aliruka mita mia.
 
Duh, spati picha...Wa254 watazidi kukimbia hili jukwaa kwa stail hii, Kila kukicha Mnawachapa na kitu kipya.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Unajua kuamini tanzania imeanza kujengwa kwa miaka 10 kwao ni ngumu sana wao siku zote walijua bado ni ile tz ya 90s wakasahau kua dunia inazunguka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
NASHAURI WAANZILISHI WA JF WATENGENEZE NAMNA YA KUJUA WANAOCHUNGULIA KIMYA KIMYA ILI TUWACHORE KIMTINDO WANAVYO SNEAK HUKU KAMA WANANYATA ๐Ÿ˜Ž
kabisa, great idea๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Check out @TheCitizenTZโ€™s Tweet:

Hzi habari hua zinawaumiza sana majirani ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ