Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kibano heavy kimekimbiza nyang'au wote,

Wameenda kutafakari kama wana nairobi nyingine au ni hii hii wanayoishi[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kibano heavy kimekimbiza nyang'au wote,

Wameenda kutafakari kama wana nairobi nyingine au ni hii hii wanayoishi[emoji23][emoji23]
hawana ujasiri wa kukumbia....ukabila umewafanya wakenya wakose national solidarity.
watarejea tu. mark my words.
 
wewe tulishawahi kukupa kibano heavy 2017,ukatoweka jf. ukajificha for a half a year, ukawa unaingia jf kwa kujificha.

ukawa unatutambia eti utaenda kujificha nairaland. nashangaa sijui kitu gani kimekurudisha jf.

kwa taarifa yenu tu, hii battle itaendelea mpaka 2025.
 
Meanwhile Timu ya Kenya yashinda COPA Africa 2018 Baada ya kuicharaza Nigeria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…