Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ UMEPANIC BIBI.
MPO SHORT TEMPERED SANA.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ IS THIS YOUR BEST??? COME ON YOU CAN DO BETTER

SASA HAPO HAPAINGII KARIAKOO
Nimekupa samples za picha outside cbd kama ulivyoagiza bra bra mingi sijui ni za nini......
 
Nyumba za 2 na 3 floors unaletea nani avic ni 160 floors in total nikama kariakpp yote.
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ 160fl kenya nzima hakuna jengo la 45fl
weka picha ya AVIC
 
Mimi sioni ubaya wa iyo picha 70s na 80s Nairobi already ilikuwa na skyline nyinyi ndio mnapata skyline yenyu 2014 alafu mnataka kushindana na Nairobi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ahahahhahahahaha huoni ubaya wakat 2018 hakuna jengo ambalo halipo hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Wewe uko na akili kama ya kuku ,to prove you wrong nionyeshe britam tower hapo ama uap,ukipata initag....
Ngoja nikutafutie picha iliyo clear hivyo vibanda vyote vipo....
Wacha story za 1970...colourless picture enzi hizo bado kulikuwa na local camera h kwa huu ukanda wetu

Labda unijuze ndani ya hiyo miaka 1970&1980 mpiga picha alitumia type gani ya camera,alikuwa angle gani, aliitwa nani,ulizaliwa hiyo miaka 1970 &1980..?
 
Nilishakukanya kama usiwe unaquote quote watu hovyo....tulia uwe mtazamaji......au ushasahau....?
 
Quote:
NAIROBI, Kenya, Oct 9 2014 – Global Chinese manufacturing firm AVIC International Holding Corporation is expected to invest over Sh17.8 billion ($200million) in setting up its Africa Headquarters in Nairobi, Kenya.
Speaking during the launching ceremony in Nairobi, Avic International Africa Director Huang Hong You said they had decided to build their Africa headquarters in Nairobi not only due to their close relationship with, Kenya but due to the conducive business environment in the country.

β€œOur company has set up holding subsidiaries in major cities across China; has established over 110 branches in more than 50 countries and owns eight listed companies. In Africa, we have around 20 branches, and Kenya is planned as our headquarters in Africa,” Huang said.....

PROJECT YA MWAKA 2014 NA HAIPO LEO JITU LINAPAYUKA ETI INA 160FL.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…