Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dunia kweli imebadilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Wataelewa....
 
Edward Wanjala msikie dada yako anasema kama atakosa kazi basi ni kuiba tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mikenya bwana yaani akili zao zinawaza kyajiliwa tu na hawafikirii kujiajiri
 
Nimetazama hii picha mpaka nimetoa machozi. Wakenya wanapata shida sana. Ningekuwa na uwezo ningewahamisha wote na kuwaleta Tanzania, nchi iliyoteuliwa na Mwenyezi Mungu.
Ameen[emoji103][emoji103][emoji103]
 
Nimetazama hii picha mpaka nimetoa machozi. Wakenya wanapata shida sana. Ningekuwa na uwezo ningewahamisha wote na kuwaleta Tanzania, nchi iliyoteuliwa na Mwenyezi Mungu.
hahahaha [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
Uchafu huo hapo juu peleka huko lagos
Hapa chini ndipo

 
Hata timamu hugeuka kuwa kichaa taratibu[emoji1][emoji1][emoji1]
Hata timamu hugeuka kuwa kichaa taratibu[emoji1][emoji1][emoji1]
Wacha nikuonyeshe kwa vitendo kichaa ni nani
Dar is Slum Streets...ona uchafu kila mahali na mpangilio kiholela holela

Hapana letea sisi Uchafu

Nairoberry na hatubahatishi halafu angalia namba plates usije ukasema tumechukua picha za maerkani na kuweka hapa


Usistuke Mkuu hio sio runway ya ndege kule Marekani ama Japan ni barabara tunazozitumia kila siku bila kuringa hata kamuulize Jiwe atakwambia ni kweli....UKIWEKA KAMA HII hapo kijiji chenu cha kuvulia samaki tafadhali untag.😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…