Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ata Tanzania ni wahindi tu na waarabu wako na doo
Ahahhahaha pole sana tanzania haina high gap between rich and poor uki compare na kenya 👇👇👇👇👇👇 yani kwa lugha nyepes tunasema muna hali mbaya sana


 
Umeongeza kigezo cha race. Tofauti ya matajiri na masikini na ni wa race gani?. Tafutia phd hii kitu
Hahahhaha kachanganya unga na mchele mm namwambia gap btn poor and rich yeye anakwambia wahindi😂😂😂😂
 
Msaidie kuleta link heheheh kaombwa link kakimbia sasa msaidie wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imekuuma sio...hahaaa!!kaitengeza mwnywe[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…