Alaf wanachokwenda kusoma ni kujenga majengo alaf yanadondoshwa na upepo alaf anasimama engineer anakwambia upepo umedondosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 952139View attachment 952140
it takes longer to finish both primary and secondary school in Kenya than any where else in Africa.
Lol. Mfumo wenu ni 7-6-4-2
Kenya 8-4-4
Illiteracy in tz is real. Lol
Mwenzako kasema Kenya wanasoma muda mrefu kuliko tz. Yaani kuhesabu kumemshinda nini?
Sijui mfumo wenu wa elimu ila najua mnasoma miaka sita sekondari
7-6-2-2 if am not wrong.
Kusoma kama kuku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapenda kuongea matope sana wewe.
Tafuta camera yenye ubora na viwangoππππππππππππ
Lol. Mfumo wenu ni 7-6-4-2
Kenya 8-4-4
Illiteracy in tz is real. Lol
You folks are actual entertainers you know.Lol.I mean that you should continue consoling yourself with kibera and turkana. Kenyans will not entertain you anymore. You are so callous.
the English says it all.
And when did I show disrespect to you If i may ask? You bring us drama and we teach you how drama is dealt with, easy as that.Lol.it's better to be an entertainer than be an insolent person.
what you said is very objective and you included all of us.I didn't mention anyone. Did I?
Hakuna mkenya mwenye uwezo wa kususia huu uzi kwasababu umewakuna ipasavyoππππ ndio maana ww upo hapa mpaka leoLol .Ahsanteni sana wakenya kwa kususia huu Uzi.
Ichoboy, endeleeni kujifariji na kibera na turkana. Uwanja ni wenu sasa.
Hawa jamaa huwa wanaingia DM nakutumiana sms za migomoπππHakuna mkenya mwenye uwezo wa kususia huu uzi kwasababu umewakuna ipasavyoππππ ndio maana ww upo hapa mpaka leo