Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jeshi lenu si liko imara...kujeni mumalize al_shabab kw masaa manne alafu mkafyeke boko haram..itakuwa ni busara sana kuona jeshi bora afrika kw vigezo vya historia..
Mambo hayo hayaendi kimhemko na kukurupuka nyie pambaneni na hali zenu,hao wanaotwa al shabaaaab mujahedeen allah akbaaaar...
Once ukianzisha ugomvi nao haushi leo..
 
😅😅 skis mwingine... Sawa. Ingia ndani ya hostels ndo uone ubora wake. KU pia si university mpya.. Ati modernity.. What modernity are you talking about
Tuoneshe ndani ya hostel tuone uchafu😂😂😂😂😂👏👏👏👏
 
HOW MANY KENYA'S HOTELS AND COMPANIES ARE OWNED BY FOREIGN INVESTORS??? HAPO MNASHANGAA NINI??
Huyo mjinga sana yeye alijua kua mlimani si mali ya chuo sasa leo katahamaki kuskia ni mali ya chuo😂😂😂😂
 
Wapo desperate sana, wanadanganya left and right ili kuonekana wapo juu, huo ndio ugonjwa wao mkubwa, wanaishi maisha ya kusadikika sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niitieni wale jamaa manina zao
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
We jamaa umewakomesha Teargass
Njoo mamaa nakumiss hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]humo ndani wanaishi bundi ama
 
Ben Pol dating Kenyan
Kiba - kenyan
DIAMOND- Kenyan
I am sure rayvanny na aslay watafollow trend.......tuko hadi na akothee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]akothee ni huyo mdada wenu aliyekomaa mpaka macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…