Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna nchi zina higher PPP than USA lakini hazijaipiku. Likewise, tz has a higher PPP than Kenya but still a laggard
Nimekuambia toa Maelezo kila kimoja kinapima nini, badala ya kujibu unatoa mifano ya USA. Nimekuambia GDP inapima utajiri wa nchi/serikali, wakati PPP inapima utajiri wa mwananchi, sasa unaposema hizo nchi zenye PPP kubwa kuliko USA lakini hazijaipita, unamaanisha hazijaipita katika kipengele gani wakati USA ni nchi ya 5 katika utajiri wa watu mmoja mmoja?
 
Haya tueleze eldy kuna nini cha maana nieleze kimoja tuπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya tueleze eldy kuna nini cha maana nieleze kimoja tuπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Airport,26 floor tower,interchanges,Moi university,2nd biggest referal hospital in EA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…