joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mimi ninatumia data za UN, wewe unapiga propaganda za Jubilee, soma data hii usikie uchunguNa kwani ww ndio un utoe data kuhusu kenya , kenya imewazidi kla ktu mupishane na drc congo na uganda c kenya
Sawa anamiliki shamba kubwa sana lkni watu million 20 hapanaUongo unasema wewe lakini official sourcw inasema anamilikiπππ
ππππππNa kwani ww ndio un utoe data kuhusu kenya , kenya imewazidi kla ktu mupishane na drc congo na uganda c kenya
Hahha huwezi kubali ukweli kwa sababu linagusa jubilee tano tenaπππSawa anamiliki shamba kubwa sana lkni watu million 20 hapana
Jubilee ni ww ebu leta data zote za un kati ya kenya na tz tucompare anza na quality of life tukienda kwa poverty polepole bla wasiwasi tuseparate facts from rumours leta data zote za un kuhusu kenya na tzMimi ninatumia data za UN, wewe unapiga propaganda za Jubilee, soma data hii usikie uchungu
Overview
Unemployment rate
Tanzania 26.9%
Kenya 36.7%
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Out of jealousy, you arrest innocent Kenyans for no reason and shame them. That doesn't stop us from exploiting you anyway π
Sasa hyo imekushutua sana nyinyi watz hunishangaza sanaππππππ
OverviewJubilee ni ww ebu leta data zote za un kati ya kenya na tz tucompare anza na quality of life tukienda kwa poverty polepole bla wasiwasi tuseparate facts from rumours leta data zote za un kuhusu kenya na tz
Ukweli kabisa nakubaliana na ww 100% next leta hdi infrastructure na educationOverview
Hii hapa ni data ya poverty level, Kenhya mna population 36.7%, Tanzania 26.9%. Ninyi ni masikini sana. Ninakuletea zingine soon baada ya kukubaliana na hii.
Askari kupigwaSasa hyo imekushutua sana nyinyi watz hunishangaza sana
Askari hawajawahi pigwa tzAskari kupigwa
Ticket pap!
Kwahiyo kama umekubali kwamba wakenya ni masikini kuliko Tanzanians, hayo mengine yaliyobaki kwangu sio muhimu sana.Ukweli kabisa nakubaliana na ww 100% next leta hdi infrastructure na education
Umepanic bratha umeingiza baridi mapema aje c tulikuwa tunacompare kenya na tz kwa kla sector kulingana na un MBNA unakuwa kigeukigeu umepeana sector mbili ambazo zna wafavour halafu ukakunja mkia umeniangusha sana bratha ndio nasema penye kenya inaongea tanzania inafaa wafunge mdomo muache kelele mpishane na ldc wenzenu kama drc congo na sudan na uganda kenya ni ligi soo mtajua hamjui kenya has high quality of life kuliko tz kenya has better education than tz number 2 after Zimbabwe in Africa infrastructure hamfikii ligi ya kenya gdp ya nairobi ni tanzania yote kama unashida unitag ama kama hauamini enda kwa un penye umetoa poverty levels na unemployment wakulambishe loloKwahiyo kama umekubali kwamba wakenya ni masikini kuliko Tanzanians, hayo mengine yaliyobaki kwangu sio muhimu sana.
A sensible Tanzanian View attachment 946002
πππππππππππππππππππππππ