Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wenzio walikiri. You keep denying everything but the world knows the truth. If you go to the rural areas in Kenya, there is no home without a latrine.The one who ranked tz among the unhygienic countries was not a fool.

Nani alikiri???😂😂😂😂 achilia rural kwanza rekebisheni huu upuuzi mjini tena capital city of kenya uozo mtupu
 
Hahaaa... Bado mko tu.. Mnamwaga mboga kwa ugali...... Tehehe. Sasa nani ameshinda???
 
[QUO
Tanzania itakunyima raha sana kwa sasa mupambane na hali zenu ila kushindana na tanzania kwa sasa nisawa na kukimbiza kivuli chako😂😂😂😂😂
Wapi ichoboy acha sifa za bure kwani Tanzania imeshinda Kenya na nn Kenya pia inakuwa unafikiri imesimama imengojea magufuli
 
Ni mwalimu wa kiswahili shule ya msingi apo nairobi mshahara wake hauifiki $200
Sema anatupenda sana wa TZ. Nataka nije nimuingize ndani ya box. Nimpige na mimba juu.😂😂😂Nataka atulie.
 
Dadavua mkuu ueleweke,sio kusema tu kuwa botswana iko juu kuliko tanzania.kw lipi?.botswana inakilomita ngapi za lami?watswane,wakaranga.na wabangwene.wanatumia dola ngapi kw siku? Je pato la mji wao ghabarrone ni pula ngapi kw mwaka,ambazo ni sawa na dola ngapi.??!! Je huduma za afya wanazipata kw umbali gn?je umri wa kuishi kw mswane ni wastani wa miaka ngapi? Majibu ya hayo maswali ndio yatakupa majibu ya nchi gn ipo juu.usipende kusema tu na kubwabwaja bira hata maelezo kidogo ukiachilia mbali ushahidi.
 
Hiyo topic ameikimbia mwenyewe. Tumempa facts somo likamuingia😂😂😂
 

Unauliza mbuzi kuhusu music[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…