Botswana and Namibia Ni S.A. ndogo zile, wanamaisha mazuri kuliko east Africa, hata salary zao ziko juu mfano tu daktari Namibia analipwa $4000 kwa mwezi...sasa botswana au Namibia wameishinda tz kwa lipi??..we unajidhalilisha tu hapa huna expooo
...
nchi yoyote ile yenye population ndogo ina uwezekano mkubwa kwa wananchi wake kuwa na maisha mazuri,tazama cape Verde,ina uchumi mdogo lakini wananchi wake wanamaisha mazuri kuzidi nchi yoyote afrika mashariki na kati,lakini huwezi kusema wamewazidi nchi ambayo ina population zaidi ya mil.50,hii population si rahisi kui-control,hebu imagine maendeleo yaliyofanywa Tanzania nzima,Tanzania ingekuwa ni ndogo Kama Botswana ingekuwaje??,tunapoangalia maendeleo tunaangalia na demand pia..Gaborone ni nzuri sana,hasa usafi,lakini haiwezi kumatch na dar..Botswana nje ya Gabor ni hatari tupu..Botswana and Namibia Ni S.A. ndogo zile, wanamaisha mazuri kuliko east Africa, hata salary zao ziko juu mfano tu daktari Namibia analipwa $4000 kwa mwezi...
tulia uambiwe wacha pupa kama haujui uliza ujibiwe hauwezi jua kla kitu ww c mungu botswana iko na universal healthcare system kwa kla citizen southafrica haina hyo ukiangalia per capita income botswana inangara na southafrica and the best way to measure a country development is by quality of life of citizens ebu angalia world hdi rankings uniambie penye botswana na south africa zikosouth africa ,what??...bora ukamsaidie mama yako kupika!
Kubali wako mbele,kama Dar unasema kumeendelea sasa inakuaje %kubwa ya wanaoishi jijini wanamaisha duni?nchi yoyote ile yenye population ndogo ina uwezekano mkubwa kwa wananchi wake kuwa na maisha mazuri,tazama cape Verde,ina uchumi mdogo lakini wananchi wake wanamaisha mazuri kuzidi nchi yoyote afrika mashariki na kati,lakini huwezi kusema wamewazidi nchi ambayo ina population zaidi ya mil.50,hii population si rahisi kui-control,hebu imagine maendeleo yaliyofanywa Tanzania nzima,Tanzania ingekuwa ni ndogo Kama Botswana ingekuwaje??,tunapoangalia maendeleo tunaangalia na demand pia..Gaborone ni nzuri sana,hasa usafi,lakini haiwezi kumatch na dar..Botswana nje ya Gabor ni hatari tupu..
Ahahaha ndio maana dr ndii aliwaambia kenya munakopa kwa ajili ya consumption and not developments leo hii maskini ha Mungu debt to GDP ratio 63%Bora wakenya wapate stima 24hrs faida na hasara za kplc znawahusu aje
Ndio lazima aseme ukweli na serekali ya kenya ukweli hamupendi aliwaambia SGR haitaweza kulipa deni la mchina mukamuona mjinga leo siunaona matokea yakeπππYeye in critic wa serikali na hata pia david ndii angekuwa mtz magufuli angekuwa tayari ashamuuwa ama unasemaje ichoboy
Ichoboy ww huniangusha sana hzo vtu hutokea maramoja tu wakati kunarepair and maintenance mm hapa nilipo busia border stima ilipotea October tarehe kumi na nane wakati transformer iliungua na ikawa replaced na stima haijablink hata tangu hyo cku kwani daresalaam huwa hakuna black out tuambiane ukweli ichoboy
Consumption gani ichoboy mm huwa nadhani unajua Kenya vizuri Kenya ilikopa ijenge sgr c sgr inajengwa ama ww hauoni kwani ulisikia wapi Kenya imekopa kulipa wabungeAhahaha ndio maana dr ndii aliwaambia kenya munakopa kwa ajili ya consumption and not developments leo hii maskini ha Mungu debt to GDP ratio 63%
yaani jombaa kwa maisha ya mtu mmoja mmoja botswana haijaishinda tz pekee,kwa maisha ya mtu mmoja mmoja hakuna nchi yoyote afrika mashariki inayoweza kuifikia botswana...nashangaa kwa nini tz tu..Kubali wako mbele,kama Dar unasema kumeendelea sasa inakuaje %kubwa ya wanaoishi jijini wanamaisha duni?
Zaidi hapa nilikua naangalia maendeleo yaliogusa wengi sio ukubwa wa jiji au wingi wa watu lahasha!!
Inajenga au inajengewa kwa mkopo???ππππConsumption gani ichoboy mm huwa nadhani unajua Kenya vizuri Kenya ilikopa ijenge sgr c sgr inajengwa ama ww hauoni kwani ulisikia wapi Kenya imekopa kulipa wabunge
Wapi ichoboy hii sgr ndio juzi ilifikisha wateja million mbili nadhani uliona hyo Kenya haijashindwa na deni deni tutalipa nilikuambia wakati utasikia China inataka kuchukua bandari ya Mombasa ama jkia uje unicheke SAA hii bdo Uhuru amechukua loan ingine ajenge expressway ya Nairobi to Mombasa so madeni tutalipaNdio lazima aseme ukweli na serekali ya kenya ukweli hamupendi aliwaambia SGR haitaweza kulipa deni la mchina mukamuona mjinga leo siunaona matokea yakeπππ
tatizo lako jombaaa huwezi kufikiri kwa kina hivyo vigezo ulivyovitaja haviwezi tosha kuamua kwamba Botswana imeizidi south kwa maendeleo,only advantage ambayo Botswana inayo ni popukation ndogo,huwezi kufananisha na nchi yenye population ya 40 + million,realy 2mil pop kwa 40..tulia uambiwe wacha pupa kama haujui uliza ujibiwe hauwezi jua kla kitu ww c mungu botswana iko na universal healthcare system kwa kla citizen southafrica haina hyo ukiangalia per capita income botswana inangara na southafrica and the best way to measure a country development is by quality of life of citizens ebu angalia world hdi rankings uniambie penye botswana na south africa ziko
Hata mungesafirisha watu milion 10 lakini madamu hii kitu ipo basi mutasota sanaπππππππππππππWapi ichoboy hii sgr ndio juzi ilifikisha wateja million mbili nadhani uliona hyo Kenya haijashindwa na deni deni tutalipa nilikuambia wakati utasikia China inataka kuchukua bandari ya Mombasa ama jkia uje unicheke SAA hii bdo Uhuru amechukua loan ingine ajenge expressway ya Nairobi to Mombasa so madeni tutalipa
Inajenga au inajengewa kwa mkopo???ππππ
Hili swala la madeni ya c kushutue ichoboy madeni tunayo mengi sana na yote tunalipa polepole sgr itajengwa na mkopo hdi iisheInajenga au inajengewa kwa mkopo???ππππ
Ndio maana uchache wao umekua na unafauu sana,siunajua apa Tz mbali na towns vijijin ni shida tuyaani jombaa kwa maisha ya mtu mmoja mmoja botswana haijaishinda tz pekee,kwa maisha ya mtu mmoja mmoja hakuna nchi yoyote afrika mashariki inayoweza kuifikia botswana...nashangaa kwa nini tz tu..
sasa unawezaje kuangilia maendeleo yaliyogusa wengi halafu ukakimbia population,unapotaka kuangalia maendeleo ya watu sehemu fulani ni lazima uangalie population,ni must huwezi kukwepa!