Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz hatuna maringo hata kidogo.... Na kiukweli yaonyesha kabisa mpo zero kihistoria...
Tanzanians think they know everything about Kenya. Now you are saying we were never taught African history. Tumefunzwa historia yote bana.Nyinyi hata hamkufunzwa jiografia .Mnaringa na histoo peke yake.
 
Alshabab hamuwawezi bro na wale wanawaacha mujisahau alaf ndio wanawatandika mkubali kua pale mumeshindwa rudisheni majeshi na mulinde mipaka yenu, ameshindwa baba yenu america nyie ndio mutaweza???
 
Afadhali mgeitangaza kenya kuwa MiracleKenya ila MagicalKenya! Halafu ndio mnatusema sisi tuna magic! na nyie wenyewe ndio mliorank kuwa metuzidi uchawi:
 
Wewee... Sisi majirani zenu tu ndio tunaweza kuwavumilia mnapopambanisha mbuga ya wanyama na mji wetu wa kibiashara, msijaribu kwa wengine hamjui yatakayowakuta. Yaani mbuga ya nairobi vs mji wa durban! sasa mnavuka mipaka
HUTATUPATA SKYSCRAPER CITY TUKIWATUKANA WANAMANDELA AMA KUJILINGANISHA ILA TUNAJUA TUPO NA MJI MOJA KAMA TUNAOWEZA KUULINGANISHA NA MIJI KAMA DURBAN, PRETORIA AMA JOHANNESBURG. NYINYI KIJIJI CHENU CHA DAR LABDA TULINGANISHE NA KINA LILONGWE AU BUJUMBURA.
 
Afadhali mgeitangaza kenya kuwa MiracleKenya ila MagicalKenya! Halafu ndio mnatusema sisi tuna magic! na nyie wenyewe ndio mliorank kuwa metuzidi uchawi:
Naona tupo pamoja na kina SA na Tanzagiza pia.
 
Acha maneno fanya vitendo, nenda kapost youtube video ulinganishe mbuga ya nairobi na pretoria uone balaa lake. Kufanya kazi tu south waliwaka wakaanza kufukuza wageni, hawataki masihara na milki zao
 
Acha maneno fanya vitendo, nenda kapost youtube video ulinganishe mbuga ya nairobi na pretoria uone balaa lake. Kufanya kazi tu south waliwaka wakaanza kufukuza wageni, hawataki masihara na milki zao
Pole kwa maumivu babaa, pokea sindano kisha ukatulie vijiweni ukiwaelezea wenzako kuwa WaKenya sio mchezo.
 
nope sio 50 jumla ni more than 145+
Hyo ilikuwa ndani ya Somalia c Kenya we umesema kakuma na dadaab na hao pia ilishaavenge ni vizuri pia ungesema kdf wameuwa al shabaab wangapi ilitucompare na ndio maana nilikushow there is no war that bleeds one side
 
Naona tupo pamoja na kina SA na Tanzagiza pia.

Wee ita Tz unavotaka, ila mikoa ya Tz iliyopakana na kenya tokea nikiwa primary nlikua sielewi kwa nini wanataja neno kenya wakimaanisha uke(K). Yaani demu wako ukimcall anakuambia leo si utakuja nikupe kenya? sasa nimeelewa why
 
Njoo upewe Kenya
 
Huyo ndio magufuli fundi sasa igeni mufeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

dola kuu, kila ikulu ya DAR ikingurumaa, chokoraa NAIROBI wanalizwa!
 
Alshabab hamuwawezi bro na wale wanawaacha mujisahau alaf ndio wanawatandika mkubali kua pale mumeshindwa rudisheni majeshi na mulinde mipaka yenu, ameshindwa baba yenu america nyie ndio mutaweza???
Hatuwawezi cjakataa kama pia usa haiwezani na alqaeda ningefurahi kama jeshi lenu lingeenda Somalia pia tuone vle hao wangeperform kdf imejaribu tena sana cku hizi ww husikia mashambulizi makubwa ya alshabaab kenya tuambiane tu ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…