Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So umepanic macho yako leo hayaaminiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Picha zangu mtazitafuta hadi mwisho wa dahari. Magwiji wa kompyuta waliomo are nothing to me, just vilaza.
As long as i substituted my 2nd name with mzalendo, nothing to worry about.

Kuna shoga yako mmoja alikuwa akijaribu kumtusi rais wetu kwa kigezo kwamba hawezi shikwa[emoji28][emoji28][emoji28].

Watu wakamuonyesha nyumba ya jirani na anapoishi,siku hizi kawa mpooole.kikubwa bidada stick kwenye mada,personal atacks hazina maana.
 
Which President? ******** ama??
 
Anza wewe kwanza ku-quite then wengine akina jenerose watafuata..
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…