Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wakae wakijua kama tumeingia kwenye sekta ya anga kibiashara zaidi hii imekaa poa sana[emoji122][emoji122][emoji122]
Tushanunua shirika la fastjet sasa tunaunganisha na Air tanzania kazi juu ya kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Tatizo lako unaelekezwa vitu serious na vyenye ukweli wewe unaleta utoto
Ghasia! Si wewe nilikuulizza GDP yenu ukasema hujui? Do you even know the meaning of GDP, PPP, GNI, do u know anything ama kazi yako ni kuita watu zero brain? Kilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…