these goons be asking for far Too Much on their plate. they be acting too diva-ish of late... ati ohh, utakam airport kuni-pick na VX sijui Rolls Royce,,, mara ohh nataka unipangishie hoteli ya 5Star full expenses paid blah blah blah bullcrap wakati wanakaa msoto, sura zao zinakaa probox na vitz na malazi ni uswahilini Tan Dale, hata hajui kushika kisu na uma.We've tolerated and enriched these ungrateful idiots for so long......mtajua East Africa ni ndogo safari hii.mtajua hamjuiView attachment 939731
Harmonise, Vanessa Mdee, Aslay, Rayvann, we are colonizing you musically.these goons be asking Too Much on their plate. they be acting too diva-ish of late... ati ohh, utakam airport kuni-pick na VX sijui Rolls Royce,,, mara ohh nataka unipangishie hoteli ya 5Star full expenses paid blah blah blah bullcrap wakati wanakaa msoto, sura zao zinakaa probox na vitz na malazi ni tan dale, hata hajui kushika kisu na uma.
nawaambiaga kila siku, bongo music ain't that big here, only Dayamond and Ali K can pull such stunts here,,, wengine tunawa-classify as 'others'. you either ship in or utalambishwa lolo,
Thie Ukiumaga... Satan.
Tanzanian songs are most watched YouTube music videos in Kenyathese goons be asking for far Too Much on their plate. they be acting too diva-ish of late... ati ohh, utakam airport kuni-pick na VX sijui Rolls Royce,,, mara ohh nataka unipangishie hoteli ya 5Star full expenses paid blah blah blah bullcrap wakati wanakaa msoto, sura zao zinakaa probox na vitz na malazi ni tan dale, hata hajui kushika kisu na uma.
nawaambiaga kila siku, bongo music ain't that big here, only Dayamond and Ali K can pull such stunts here,,, wengine tunawa-classify as 'others'. you either ship in or utalambishwa lolo,
Thie Ukiumaga... Satan.
in your stupid head maybe.......................mtajua hamjuiHarmonise, Vanessa Mdee, Aslay, Rayvann, we are colonizing you musically.
hii kutumia kenya kama ngazi imeisha..................huhuhu.We have the best group in AFRICA sauti SOL...............BUY KENYA BUILD KENYA.nyie juzi tu hapa si mlikuwa mnasema hamumfahamu? kiherehere cha kumpost umetoa wapi?
niliwahi kusema, mkenya hawezi hepa bongofleva.
kama hutosikiliza bongofleva kwa matatu, utaisikiliza kwa earphone za simu yako.
kama hutosikiliza kwa club, utaisikiliza kwa playlist za fm radio za kenya.
kama hutoisikiliza kwa playlist ya fm radios za kenya, utaisikiliza kwa digital platforms kama youtube, itune, mdundo etc.
and last but not least, kama utajifinya mjanja kwa kuhepa ku-watch bongofleva music videos on youtube and kenya local TV stations, utasikia mziki wa bongofleva ukichezwa kwa radio ya neighbor next door.
whether hamtaki au mnataka, hamuwezi kuzuia mvumo wa bongofleva ndani ya kenya. ndio mziki unaopendwa zaidi na vijana wa EA kwa sasa.
wakenya wapumbavu wachache wa hapa JF mtajibeba wallah....kunyweni sumu mfir mbali kama hasira zikiwapanda.
wanajidai wanataka fancy life ila nchi wanatokea ndio inayovuta mkia kimaendeleo duniani....LDC.......no more freebies from kenya.....ama tutawaonyesha middle finger na kuwaangusha jukwaanithese goons be asking for far Too Much on their plate. they be acting too diva-ish of late... ati ohh, utakam airport kuni-pick na VX sijui Rolls Royce,,, mara ohh nataka unipangishie hoteli ya 5Star full expenses paid blah blah blah bullcrap wakati wanakaa msoto, sura zao zinakaa probox na vitz na malazi ni uswahilini Tan Dale, hata hajui kushika kisu na uma.
nawaambiaga kila siku, bongo music ain't that big here, only Dayamond and Ali K can pull such stunts here,,, wengine tunawa-classify as 'others'. you either ship in or utalambishwa lolo,
Thie Ukiumaga... Satan.
our authority is well aware kwamba wapo wakenya wachache wanaofanya kila hujuma ili ku destroy image ya vijana wetu vinara katika mziki wa bongofleva hasa wale wenye mashabiki wengi kenya.in your stupid head maybe.......................mtajua hamjui
Kenya is our colony through music, you can't do without Bongo flavahii kutumia kenya kama ngazi imeisha..................huhuhu.We have the best group in AFRICA sauti SOL...............BUY KENYA BUILD KENYA.
hizo ni statement za kujifariji. ukiondoa bongofleva and gospel music, the only genre been competing in having a bigger fan base in kenya is reggae music (ma-riddim).Kenyans have different tastes ...maybe huko pwani utaskia bongo na taarab.....lakini nairobi all genres are represented kuna watu wa soul and classics,kuna wasee wa riddimz,reggae and ragga,kuna wasee wa genge ,rock and maybe hit ya diamond moja.not bongo music coz tanzanians siku hizi sound the same in every song so nothing to fancy there.................oh we even like kwaito and also our vernacular tracks
hakuna mwanamziki mtz anayebembeleza kuja kufanya show kenya, do your research. your music promoters and event organizers are to blame. they are the ones who are coming to approach us.VINDU VICHENJANGA.......WATU WA LDC HATUWABEBI MGONGONI TENA.................endeni mtafute show mozambique ama uganda
wewe hujielewi kabisa. Muwe na sijui best group in Africa sijui nini we don't care. Our artists do shows in Europe, America and the middle east. They come to Kenya just like they go to those places. Uwapende usiwapende, your fellow Kenyans say otherwise.hii kutumia kenya kama ngazi imeisha..................huhuhu.We have the best group in AFRICA sauti SOL...............BUY KENYA BUILD KENYA.
hiyo miaka mitatu tumekuwa tukiwapa kichapo cha mbwa msikitini lakini kwa akili zenu za ngiri mnasahau haraka sana, tutazidi kuwapa kichapo day and night mpende msipende.mimi sio kama nyinyi vilaza.
kila siku mmekuwa mkipiga kelele mtajitoa kwa kwa battle. na sasa tunakaribia kuingia mwaka wa tatu na bado mpo hapa.