Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Prejudice everywhere. Sleep naTuanze na chakula kwanza, kama miaka yote 30 wakati sisi tunapigana, mumeshindwa kujilisha, tumewakuta tunaweza kujilisha na kuzalisha chakula cha kuwapeni ninyi, aibu tupu.
Uko na mke?Tuanze na chakula kwanza, kama miaka yote 30 wakati sisi tunapigana, mumeshindwa kujilisha, tumewakuta tunaweza kujilisha na kuzalisha chakula cha kuwapeni ninyi, aibu tupu.
Nairobi yenyewe hadi Leo hakuna maji ya kutosha, mpo na slums, na hamna chakula. Hayo ni miongoni mwa mahitaji ya msingi ya binadamu, tumewapita, au sio kweli?Naexpect mtoto a argue hivo lakini si mtu mzima
Ndo wanapiga nayo kelele hapaHapo ni kwa kina popo....lol.looks abandoned kinda
Bila kusahau unemployment rate😂😂😂 na below poverty lineNairobi yenyewe hadi Leo hakuna maji ya kutosha, mpo na slums, na hamna chakula. Hayo ni miongoni mwa mahitaji ya msingi ya binadamu, tumewapita, au sio kweli?
Taifa la kibepari hilo wala hawakujali ukombozi wa wenzao. Tanzania ilifadhili Jitihada za ukombozi wa Zimbabwe, Msumbiji, Afrika ya kusini, Namibia na hata comoro juzi tu hapo tulishiriki kuikomboa kwa operation anjouan.Kasome history kwanza alaf rudi tuendelee unafkiri tanzania ni wabinafsi kama nyie wenye roho mbaya chafu[emoji4][emoji4][emoji4]
Haya ni makosa watanzania wengi wanafanya. Hawajui tofauti ya r na l ndio maana nikakuuliza. Sijui kwa nini umeleta maana ya dhahiri sikuwa nimeuliza. Mnaweza shindwa na wanyarwanda swahili
Bila kusahau angola, rwanda na burundi tumewaeka sawa sisi , congo usisahau , zambia na uganda na malawiTaifa la kibepari hilo wala hawakujali ukombozi wa wenzao. Tanzania ilifadhili Jitihada za ukombozi wa Zimbabwe, Msumbiji, Afrika ya kusini, Namibia na hata comoro juzi tu hapo tulishiriki kuikomboa kwa operation anjouan.
Rais Sam Nujoma wa Namibia wakati anastaafu alikuja Tanzania kushukuru. Hata makao makuu ya ukombozi afrika yalikua Dar es salaam. Hata alipokufa Mandela Tanzania ilipewa nafasi maalumu kumuaga kule kijijini kwao Qunu na kama kawaida yake Kikwete akatoa speech bora kabisa.
Nyerere aliamini kuwa si jambo la kupendeza Sisi kujiona huru wakati ndugu zetu wa kusini bado ukoloni unawasumbua. Ndio maana Tanzania pamoja na kuwa Afrika ya mashariki lakini ni mwanachama wa SADC kama heshima ya ukombozi.
kambi za ukombozi yalikua mengi tu ndani ya Tanzania. Saizi yamegeuka shule,mfano shule ya Samora Machel kule Mbeya. Pia campus moja ya SUA imepewa jina la Solomon Mahlangu.
Algeria na Misri zilikua na mchango mkubwa katika ukombozi wa nchi za kusini kuliko Kenya. Walter Rodney na Che Guevara hawakuja Tanzania kimakosa. Achana nao labda history kwao wanasoma maumau tu. Kiukweli bila zile harakati za ukombozi tungekua mbali sana. Hata soo la Uganda liliturudisha nyuma sana.
Asante ichoboy kwa point muhimu sana.
Taifa la kibepari hilo wala hawakujali ukombozi wa wenzao. Tanzania ilifadhili Jitihada za ukombozi wa Zimbabwe, Msumbiji, Afrika ya kusini, Namibia na hata comoro juzi tu hapo tulishiriki kuikomboa kwa operation anjouan.
Rais Sam Nujoma wa Namibia wakati anastaafu alikuja Tanzania kushukuru. Hata makao makuu ya ukombozi afrika yalikua Dar es salaam. Hata alipokufa Mandela Tanzania ilipewa nafasi maalumu kumuaga kule kijijini kwao Qunu na kama kawaida yake Kikwete akatoa speech bora kabisa.
Nyerere aliamini kuwa si jambo la kupendeza Sisi kujiona huru wakati ndugu zetu wa kusini bado ukoloni unawasumbua. Ndio maana Tanzania pamoja na kuwa Afrika ya mashariki lakini ni mwanachama wa SADC kama heshima ya ukombozi.
kambi za ukombozi yalikua mengi tu ndani ya Tanzania. Saizi yamegeuka shule,mfano shule ya Samora Machel kule Mbeya. Pia campus moja ya SUA imepewa jina la Solomon Mahlangu.
Algeria na Misri zilikua na mchango mkubwa katika ukombozi wa nchi za kusini kuliko Kenya. Walter Rodney na Che Guevara hawakuja Tanzania kimakosa. Achana nao labda history kwao wanasoma maumau tu. Kiukweli bila zile harakati za ukombozi tungekua mbali sana. Hata soo la Uganda liliturudisha nyuma sana.
Asante ichoboy kwa point muhimu sana.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Taifa la kibepari hilo wala hawakujali ukombozi wa wenzao. Tanzania ilifadhili Jitihada za ukombozi wa Zimbabwe, Msumbiji, Afrika ya kusini, Namibia na hata comoro juzi tu hapo tulishiriki kuikomboa kwa operation anjouan.
Rais Sam Nujoma wa Namibia wakati anastaafu alikuja Tanzania kushukuru. Hata makao makuu ya ukombozi afrika yalikua Dar es salaam. Hata alipokufa Mandela Tanzania ilipewa nafasi maalumu kumuaga kule kijijini kwao Qunu na kama kawaida yake Kikwete akatoa speech bora kabisa.
Nyerere aliamini kuwa si jambo la kupendeza Sisi kujiona huru wakati ndugu zetu wa kusini bado ukoloni unawasumbua. Ndio maana Tanzania pamoja na kuwa Afrika ya mashariki lakini ni mwanachama wa SADC kama heshima ya ukombozi.
kambi za ukombozi yalikua mengi tu ndani ya Tanzania. Saizi yamegeuka shule,mfano shule ya Samora Machel kule Mbeya. Pia campus moja ya SUA imepewa jina la Solomon Mahlangu.
Algeria na Misri zilikua na mchango mkubwa katika ukombozi wa nchi za kusini kuliko Kenya. Walter Rodney na Che Guevara hawakuja Tanzania kimakosa. Achana nao labda history kwao wanasoma maumau tu. Kiukweli bila zile harakati za ukombozi tungekua mbali sana. Hata soo la Uganda liliturudisha nyuma sana.
Asante ichoboy kwa point muhimu sana.
kilaza edward wanjala next monday narudi upya jf baada ya likizo fupi.
i'll be having some serious debate about issues that are affecting kenya socially and economically.
i will go toe to toe with you....nataka turudishe ile battle yetu ya 2017 kati ya wewe na mimi mpaka ukaamua kutoweka jf. ukawa unaingia jf kwa alternative account ili usome kinachoendelea.
i hope this time around hutonikimbia maana najua wakenya huwa mnaniogopa sana.
Upo sawa mkuu, kipindi hicho Oscar kambona ndio alikua Katibu wa ukombozi. Hawa majamaa sijui wanasoma historia ya wapi naona wamekushambulia kama vile uliongea uongoBila kusahau angola, rwanda na burundi tumewaeka sawa sisi , congo usisahau , zambia na uganda na malawi
Nyanyangu hujalala?Prejudice everywhere. Sleep na
Upo sawa mkuu, kipindi hicho Oscar kambona ndio alikua Katibu wa ukombozi. Hawa majamaa sijui wanasoma historia ya wapi naona wamekushambulia kama vile uliongea uongo
Let's evidence ujenzi unaendelea ....lilikeamia sixth floor likipanda ya Saba unitag....[emoji38][emoji38]you wish,kaanga mbegu za mahindi utafune.upooze njaa.
Usisahau kuosha zina dawa.
Watoto walale. I am insomniac. Mimi ndiye huzima lights za jfNyanyangu hujalala?
Wewe ni kilaza usiyejua chochote. Lazima utukane watu ndio usikike? Akili majimaji rebellion. Why don't you people explain to us about these majimaji rebels
Enough with your justifications. Everyone knows you Tanzanians don't know the difference between r and l