Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

From 2007-2017 Kenya ilikuwa kwenye flight mode. This year moving forward you will be just smelling the smell
Nakwambia tanzania imeanza developments within 10 years na huyu jamaa sasa anamiaka mitatu tu hebu imagine vile munalia hamulali😂😂😂😂 bado 7 good years
 
"Tulikuwa South Africa kuwasaidia kupata Uhuru kwa miaka 30 tukasahau kujenga kwetu"... I don't want to hear this shit again. Hii si point ya kuargue
Kwasababu tumewakuta na tunawaacha, lazima usikie haja kubwa na ndogo zinakuja kwa wakati mmoja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hapo nimechapia kidogo kutype hilo ni neno la kiswahili fasaha na si neno la vijiweni hapa tukisema tutumie lugha za vijiweni hatutoelewana mngeishia kuambulia neno moja moja

DHAHIRI- ni neno la kiswahili linalomaanisha "inaaminika" su kwa maana nyingine "sio siri"
Dhahili ndio nini sasa? Kiswahili cha vijiweni
 
Mmetuacha na nini? Umaskini ama [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuanze na chakula kwanza, kama miaka yote 30 wakati sisi tunapigana, mumeshindwa kujilisha, tumewakuta tunaweza kujilisha na kuzalisha chakula cha kuwapeni ninyi, aibu tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…