Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael kwanza huwezani na facts...ety nlitoroka I was very busy...kadoda umekuja na uchokozi picha yako next inaload..at least annael ckuhizi anajua cha kusema...wewe I'll deal with u meticulously
you can upload that pic as many time as you want.I won't stop asking why you get so damn hungry after we call you "watchman"?.
 
Wamulike waone Hawa, nyang'au wanasema hatuma stima tunajenga reli ya umeme? Hua wanaakili za kifala Hawa wanadhani kila kitu wanaweza kushinda kama marathon
Watanyooka tu wezi hawa.
 
Heheheehehe Mzee wa iPhone 7 karibu sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
eti ananichimba mkwara.huyu watchman ni bwege kweli aisee.

hajui kwamba kadoda11 ni brand kubwa hapa jf kupitia subsection ya kenya forums tangu 2011.

nishawahai ku-debate na wakenya wabishi na wajuaji kushinda yeye, mwisho wa siku mambo yalipo washinda,wakaamua kuwa ghost members wa jf(hawakomenti chochote,wanapita tu juu kwa juu,kimya kimya na kusepa)

sasa yeye kujiunga jf juzikati mwezi march,leo anapata ujasiri wa kumpiga biti nyani mkongwe aliyekwepa mishale mingi ya wawindaji..hahahahaha nacheka kwa dharauu [emoji23] [emoji23]
 
Annael kwanza huwezani na facts...ety nlitoroka I was very busy...kadoda umekuja na uchokozi picha yako next inaload..at least annael ckuhizi anajua cha kusema...wewe I'll deal with u meticulously
aah kumbe iphone7 in da building jamani makofi kwake[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hehehhehehe facts za CHOLO mzii hizo a.k.a Mzee wa iPhone 7πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€
Soma kwanza hapo kuhusu GDP alafu tusonge mbele

https://www.google.com/url?sa=t&sou...ghJMAU&usg=AFQjCNFput7pBu3IDEXMh25VrTHuWVmflA
 
Sawasawa na mtu mwenye kipato cha laki moja na wake 4 anamringia wa kipato cha milioni1 kwamba yeye akiwa na mtoto 1, yeye anao wa4. Akiwa na wa2, yeye anao 8. Akiwa na wa3, ye anao 12!!
Huyu mtu hajielewi!!!
Hehhehhhehe nilikwambia kueni makini na tanzania ya 2017 msifkiri tulikaa kimya bure hehhehhehe mambo moto munashtuka leo its too late....mapovuuuuu kibao ya nini
 
Alafu no 13 kila siku nakufundisha hahhahahahha huelew umeona balaa hiloAlafu ukimaliza hapo nitajie mall 15 tu nairobi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hehhehhhehe nilikwambia kueni makini na tanzania ya 2017 msifkiri tulikaa kimya bure hehhehhehe mambo moto munashtuka leo its too late....mapovuuuuu kibao ya nini
Napenda sana ubishi wako........ hivi ndo inavyotakiwa!
Tatizo ni pale unapoamka asubui..... then there is that one thing ALWAYS blocking your view, Kenya ya 2017!
Ukombozi wako ni kugeuka for a different view, otherwise kenya will always be your only view! Tafakari!
 
Alafu uniletee official source ya HNWI 6500 na iwe official document πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Alafu nitajie airport tatu za nairobi zote uzitaje
Alafu am sorry to tell u that dar kila sehemu ni CBD kama ulikua hujui ndio ujue kwanzia leo hehhehheehehehπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unajua kwanini nakwambia tanzania ya 2017 kwasababu mlizoea kukariri tanzania imelala tu sasa leo munashangaa kuona maajabu ndio maana natumia tanzania ya 2017 maana take unbelievable year hehehehheheheh
Mutahangaika sana lakini kazi munayo tena sio ndogo malizeni uchaguzi kwanza muuwane kama mwaka mzima hvi alafu sisi tuendelee kujenga nchi hata Ethiopia kaliona hilo ndio maana kakimbia kutumia bandari ya dar mapema
 
kuna post moja ulidai kwamba wewe si mkenya.

inakuaje inapotajwa kenya,unashikwa na "mfadhaiko" sana?.
 
kuna post moja ulidai kwamba wewe si mkenya.

inakuaje inapotajwa kenya,unashikwa na "mfadhaiko" sana?.
Si washaona kisu shingoni sasa wanahangaika huku na kule heheheh wengine wanafungua Id mpya kila siku hehehheehehhehe
 
Dar Es Salaam oyeeee!! Nairobi ziiiiiii! Slums capital of East Africa.
 
kwani itakua mara ya kwanza kuuwana? Waliuwana 2007 na bado wako mbele. Nothing new!
Alioko nyuma ndo atafanya kazi kubwa kumpita Alioko mbele yake. Na alioko mbele atashangaa pale atapopitwa! Nakushauri ukalale kesho uwai kazini ili baada ya miaka 50 labdaTanzania itaipita Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…