I know mnaungua behind the emojis
Aerial view yake ni hatar chukua iyoUmekubaliwa kuotaView attachment 936992
I only see hoary building there.Aerial view yake ni hatar chukua iyo View attachment 936997
Umejua maana ya aerial wewe?? Hii ni aerial view?Aerial view yake ni hatar chukua iyo View attachment 936997
Mbona ww waonyesha pond tumenyamazaI only see hoary building there.
Kwani nilishika mdomo wako? [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ww waonyesha pond tumenyamaza
[emoji23][emoji23][emoji23] what are you trying to say [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] what are you trying to say [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Buda uko serious kweli??View attachment 936999View attachment 937000
Miaka 30 Tanzania ilikua inapigana huko kusini mwa Africa, Kenya mlikua mnajenga nchi na uchumi wenu, tumewakuta na tunawaacha. Mnamatatizo gani?, wenzenu wangekuwa Singapore sasa hivi.Ju umeski kenya imelala?
Kwani Kenya ndo iliwatuma ukoMiaka 30 Tanzania ilikua inapigana huko kusini mwa Africa, Kenya mlikua mnajenga nchi na uchumi wenu, tumewakuta na tunawaacha. Mnamatatizo gani?, wenzenu wangekuwa Singapore sasa hivi.
hahahahahahahaha dj pull it up, tuta,tuki,tutaipiku kenya,wataisoma namba chorus x3Miaka 30 Tanzania ilikua inapigana huko kusini mwa Africa, Kenya mlikua mnajenga nchi na uchumi wenu, tumewakuta na tunawaacha. Mnamatatizo gani?, wenzenu wangekuwa Singapore sasa hivi.
88-52=36blnMiaka 30 Tanzania ilikua inapigana huko kusini mwa Africa, Kenya mlikua mnajenga nchi na uchumi wenu, tumewakuta na tunawaacha. Mnamatatizo gani?, wenzenu wangekuwa Singapore sasa hivi.
Miaka 30 Tanzania ilikua inapigana huko kusini mwa Africa, Kenya mlikua mnajenga nchi na uchumi wenu, tumewakuta na tunawaacha. Mnamatatizo gani?, wenzenu wangekuwa Singapore sasa hivi.
88-52=36bln
Na gap inaongezekaYaupepo au[emoji38][emoji38]
Na gap inaongezeka
Sijui tuwapee EL'D ama Dadaab??[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 936386
IYUMBU DODOMA PROJECT ON FIRE
Not funnyUmesahau GDP yenu ni 250...siyo 88
Hahahahaha, unadhani maendeleo ni numerical GDP tu.88-52=36bln