Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijitonyama hii hapa itakuliza mpaka machozi yakaukeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kwani tuliwaambia muwasaidie, alafu mbona S.A iko more developed than you. Excuses za kijinga hatutaki hapa.

Kuwasaidia ilikua ni jukumu letu sote lakini kwakua nyie mlitawaliwa na wabinafsi ndio maana hamkushiriki lakini chakuskitisha Mungu sio athuman miaka 40 ya maendeleo muliokua nayo hakuna mulichokifanya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ leo hii miaka 10 ya maendeleo tanzania inawanyima usingizini na bahat mbaya kwenu mumekutana na fundi anamiaka mitatu tu kwenye utawala bado 7 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 

Na ukumbuke hii ni kijitonyama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
Usije ukasema riyadh
 
Ati Tanzania ilipoteza miaka 25 ikipigania Uhuru wa nchi nyingine. Enyewe zuzu atazidi kuwa zuzu
 
So nyinyi nyote mlijibeba mkaenda S.A kuwapigania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], saa zingine pia fikiria. Usiwe unareason tu kama kondoo kila saa.
 
So nyinyi nyote mlijibeba mkaenda S.A kuwapigania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], saa zingine pia fikiria. Usiwe unareason tu kama kondoo kila saa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ karibu nifaint nikicheka. Walibebwa wore na ATCL kupelekwa SA kupigania uhuru
 
Bwawa la kufugia m'mbu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Dar ni coast region umenielewa park zake nyingi sana zipo pemebzoni mwa ocean kama vile oyesterbay park, coco beach park [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] ndio maana hata park yenu mulijenga bwawa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚My ribs!!!πŸ€”Sio Riyadh. Ni Riat in Kisumu!!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Ekhekhekehke wanjala serious safari hii mumelia sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani hakuna sehemu amabayo hamujabanwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…