Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua hawa kipindi hii group imeanzishwa walikuja kwa dharau wakidhani bado ni ile tanzania ya 90s sasa leo wanatahamaki kilichobakia kwao ni hasira na kurusha ngumi za hewaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ichoboy, kiukweli, kataa ama kubali. Hii ni posta au la. Halafu niambie imezidi nini Eldoret.

Hapa unaona TPA kwa kona!??? Halafu angalia barabara.
 
Ichoboy, kiukweli, kataa ama kubali. Hii ni posta au la. Halafu niambie imezidi nini Eldoret.
View attachment 934781
Hapa unaona TPA kwa kona!??? Halafu angalia barabara.
View attachment 934790
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Eti hapo ni postaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Picha ya mwisho ni Kariakoo maeneo ya Gerezani na picha ya mwanzo ni Morogoro road.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1][emoji1][emoji39][emoji39][emoji39]
I love NAIROBI CITY
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Eti MLDC anashindana na LDC,,huku macho yakiwatoka....

Kuna vitu vikikaa sawa hatupaswi kujadili tena kuhusu Dar na Nairobi maana Dar ni level yakimataifa..,,nairobi mji mchafu nawaajabu sana.....
Unajua hawa kipindi hii group imeanzishwa walikuja kwa dharau wakidhani bado ni ile tanzania ya 90s sasa leo wanatahamaki kilichobakia kwao ni hasira na kurusha ngumi za hewani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeanza kuhangaika. Hapo ni wapi!???
Hivi Nairobi ni mji wanaishi watu au nguruweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huoni mwenzako kavaa t-shirt yenye bendera ya kunyaπŸ‘‡πŸ‘‡Zoom PichaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡
 
Endelea kungojea ruti za kula kwa macho angali maishani mwako haujawahi panda ndege....

Endelea kungojea real newz[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hawa wa Azam haya walipata kwa JF ama!? Fake news. Imepunguza safari sio kusitisha.
 
Eti MLDC anashindana na LDC,,huku macho yakiwatoka....

Kuna vitu vikikaa sawa hatupaswi kujadili tena kuhusu Dar na Nairobi maana Dar ni level yakimataifa..,,nairobi mji mchafu nawaajabu sana.....
Unapafahamu hapa!?
Na hapa!?? Katikati ya jiji Dar is Slum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…