Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Napenda vile wewe huelezea mambo kinagaubaga. Kama pop.ni hiyo ni sawa maana region kuitwa city lazima iwe na pop.ya 300k.Hivyo vigezo vingine imetimiza kweli?
Move ya kufanya Mbeya, Tanga na Arusha kupata status ya city ilikua kuzipa sifa ya kupata projects kubwa ambazo zinakua allocated kwa majiji tu. Na ndicho kinatokea kwa Dodoma saizi. Naona Tanga inasuasua saizi ila ni moja ya sehemu nzuri sana Tanzania.

Mbeya iko nyanda za juu kusini (southern highlands zone ) ambako hamna jiji kubwa. Kwahiyo serikali iliamua kuifanya Mbeya jiji kubwa kwa ukanda huu. Kwa sasa inajikongoja hivohivo
 
Ichoboy tuseme mnataka vita residential za Mombasa na Dar +Zanzibar sivyo?? Mko tayari na hakika tuanze!?
Nakuonesha vile coastal city inafaa kua angalia kwa unakini budaa hamuna hata proper pedestrian path along oceanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Znz😁😁😁😁







BongoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…