Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli ni kwamba kenya hamna mji wa maana zaidi ya nairobi,mombasa,kisumu,nakuru,kisumu,malindi,lamu ni uchafu ushahidi ni hizi picha hawa nyani wa kenya wanatuma huku.
 
Ichoboy umeandika kidhungu na walikuwa wanasema haujui. Hongera.
Nasubiri population ya mbeya.
Mkoa wa Mbeya una watu 1.8M na city ina watu 424k kwa data za 2016. Tanzania ukitoa Dar na Mwanza maeneo yaliyobaki population haitofautiani sana. Hakuna municipal katika Tanzania ambayo ina watu chini ya 200K. Bado city haijaendelea sana ila ndio iko kwenye 'take off stage' .

Zamani ilikua hakuna majengo marefu kwa kuogopa tetemeko la ardhi kwa sababu mji umepitiwa na bonde la ufa . Majengo mengi yalikua na ghorofa chini ya 5. Lakini saizi watu wameachana na mila hizo potofu na mijengo mirefu inajengwa. Usidhani mpaka leo elevator ni moja tu (CWT).

Ni strategic place kwa sababu ni karibu na Tanzania most busiest border, Tunduma. Ni miongoni mwa miji inayolisha Tanzania na nchi jirani.

Pia kuna Airport nzuri kabisa
 
Ichoboy tuseme mnataka vita residential za Mombasa na Dar +Zanzibar sivyo?? Mko tayari na hakika tuanze!?
we kilaza kutoweka kwako hapa jf nilidhani siku ukirudi ungerudi na hoja ya maana, kumbe bado umerudi na hoja zilezile za kijinga.
 
pwahahaha city kubwa mno........................musoma city..................bora wapachike bustop na roundabout city status pap
Ati waliweka "Modern Lift in Africa" sasa imekua City [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kahaba housemaid....nenda kwa geti kapokee watoi wa mdosi wanarudi toka shule kwa school bus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…