Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji39][emoji39]aliyekuambia wale weusi ni nani.....

Huku ndiyo mpango mzima kidogo wanakuja wanyarwanda na wasudan kwa mbali mixer waethiopia
Ulikuwa unaongelelea sura. Mbona hujaweka wale weusi? Ama ni kwa sababu mnachukia weusi?
Warembo na watanashati wanapatikana Sudan.
 
Wacha kujiongopea......na huyo aliyekuambia kuwa tunachukia weusi aendelee kukuongopea hivyo hivyo.....

Wakenya mnavisa sana mnamezeshana sumu zakitoto
Nawajua vizuri sana.Mnachukia watu weusi lakini mnasahau kwenu wapo. Wasafi members wote ni weusi kama lami lakini hamuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…