Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza hio imesifiwa na wanamziki wanaosifika africa mpaka duniani😂😂😂😂👇👇👇👇👇🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Upuzi huu unaweka siutaki...mimi nataka wimbo unaoisifi kijiji chenyu cha dareslum...hapa chini ni wimbo unaoisifu Nairobi
 
Nkt! Nani amejisifu churai. My point was Nairobi as a middle class city and a commercial hub has more vehicles than Dar LDC village. Jam ni shida kwa every major city.
Aisee kweli mkenya ni mpumbavu yaani unajisifu na jams?????..watu tunahangaika kuondoa jams kwa city zetu,we unafurahia,aaah mungu tuepushe na akili kama hizi
 
Sijakuuliza mambo ya construction. Nilitaka uniletee a functional SGR kama hakuna unasema hakuna.
Kwan hujui kama the modern electric bullet train in africa is underconstruction hahah yani ujenzi haujamaliza hata miaka miwili ila munalia mukilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


 
[emoji23][emoji23][emoji23] Tuletee basi roads na airport za Mwanza tulinganishe. Alafu GDP.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unatuonesha meli ya ufalme wa oman musije sema yenu hata zanzibar ilikuwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kinachoistiri mombasa ni port only nothing else
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…