Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

These ones are more planned than those of dar islum
tanzanians are not ok in the brain.....watu ni maskini kupindukia lakini hata kuandamana ndio wapate services hawawezi ....wanaogopa......ati sijui atukuzwe magu crap......these people should look themselves in the mirror even more than kenyans
 
uhehheheheheπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ leo hasira zimepanda budaa
 
tanzanians are not ok in the brain.....watu ni maskini kupindukia lakini hata kuandamana ndio wapate services hawawezi ....wanaogopa......ati sijui atukuzwe magu crap......these people should look themselves in the mirror even more than kenyans
Walipata hospitali ya kutibu brains. Nimeona hiyo thread Leo. Wakishatibiwa kila kitu kitakuwa shwari
 
Majitu yakishindwa yanakimbilia pics za kibera za 2009.mko na taabu kweli wabongo. Jifarijini na slums the rest of kenya si ligi yenu
 
Nyuzi zimeshafunguliwa tumeona ,hata kama kila mtu anavutia upande wake kisumu is just overrated
First, I have never seen a thread of Kisumu vs either Mwanza or Arusha. Second, if the word overrated is anything to go by then I'm returning it to you. There is no overrated town in Tz like Mwanza.
 
Mwanza and kisumu are overrated
Serious towns like Dar, Nbo ndio tuko nazo napea sec vote kwa Arusha na mombasa japo kimaendeleo mombasa imeacha chuga
 
What does Arusha have that differentiate it from Mwanza excluding Natural features?
Tourism hub,hotels, restaurants ,casinos, clubs,shopping centres kibao,muingiliano wa wageni wengi,real estate na mazingira yake asilia panavutia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…