.Wakenya acheni ujinga. Nani mtamfanganya kwamba Kenya mmejenga kuliko Dar? Wadanganyeni wasiofika Kenya Nairobi inasifa hii.
Kwanza ......chafu
Pili.....Haina ubunifu msongamano Wa ajabu sana mnatumia old model matatu ya hovyo magari ya hovyo.
Jamu kubwa sana Nairobi mpaka karaha.
Uchafu yaani nenda Uhuru park round about zake utakuta uchafu kila sehemu.
Hakuna jengo lenye ghorofa 45 Kenya hakuna.
Wanasifia saana kuhusu flying over barabara ambazo nonsense ikiwa hamtoi Yale matatu ukiyaona uchafu mtupu.
Angalia kuhusu mawasiliano ovyoo sana.
Kenya bado sana mno
alafu wanasema wanakimbia ila kiuhalisia ndio wanaanza kutambaa..hahaakabla bado hamujaweka jiwe la msingi Ubungo Interchange... hii inafanyiwa final touches.
P/s outside Nairobi
Sasa wewe shoga unauza mkunduu
inahitaji more hardwork and determination. hawa chenye wanatushindia nacho ni urogialafu wanasema wanakimbia ila kiuhalisia ndio wanaanza kutambaa..hahaa
na kuexport waganga.....mganga maji marefu kutoka tangainahitaji more hardwork and determination. hawa chenye wanatushindia nacho ni urogi
Wewe ndio msemaji wa serekali hahhaah😀😀😀hahaaa..jipe moyo....alafu naskia ubungo nayo mtachimba chini cz the current design is too high ikue kama pangani yenye mnasema sio 3 level.yetu macho.alafu mkimaliza izo mbili za ubungo na tazara jaribuni pia mjenge mwanza na arusha huku kenya tunajenga interchanges msa kisumu mpaka kitale..flyovers tunazieneza nyinyi piganeni na ubungo mkiimba mnakimbia
one of its kind in afica aah?tutakua humu jf bado kua mpole usije ukala matapishi yakoWewe ndio msemaji wa serekali hahhaah😀😀😀
Ukiwa mjuaji sana utakua mjinga hapachimbwi shimo wala tuta kokote na 3 floors zinapanda kwenda juuu na itakua one of its kind in Africa 😀😀😀😀😀😀🙂🙂🙂🙂
Pole sana bro tafuta taarifa zingine na kwa taarifa yako ujenzi ushaanza na unaendelea kwa speed zote
Povuuuuu umeskia reserve ya natural gas Tanzania 441 trillion cubic feetSasa wewe shoga unauza mkunduu
Hahahahhaha usitoe sana povu kaka ujenzi unaendelea na hakuna sehemu panachimbwaone of its kind in afica aah?tutakua humu jf bado kua mpole usije ukala matapishi yako
ebu tuonyeshe izo picha cz mapadlock alieka jiwe la msingi juzi tu....Hahahahhaha usitoe sana povu kaka ujenzi unaendelea na hakuna sehemu panachimbwa
3 floors up hahahhaha one of its kind in africa😀😀😀😀😀😀😀😀
Unataka kuona enhhhh 😀😀😀😀😀ebu tuonyeshe izo picha cz mapadlock alieka jiwe la msingi juzi tu....
sasa macho hayaamini nni na sijaona lolote??hahaaa....una vituko.tuma picha mkuu tuone,utafurahisha hata wabongo wenzako ambao hawako darUnataka kuona enhhhh 😀😀😀😀😀
Macho hayaamini enhhhhh😀😀😀
Tulia wewe usijifanye mjuaji sana hii ndio bongo 2017 na bado nakwambiasasa macho hayaamini nni na sijaona lolote??hahaaa....una vituko.tuma picha mkuu tuone,utafurahisha hata wabongo wenzako ambao hawako dar
aaah...naona tu ma excavator yameegeshwa tu apo kando?hio ndio kazi?ebu ngoja wakianza kuchimba utuletee picha