Hao wazungu ni akina nani...hhhh!!!hta wewe kuja ununue uone nikm utaibeba urudi nayo kwenu....utabaki kusema una ardhi kenya u invest na ulipe kodi...hakuna zaidiHona points, wakenya wengi walishaona na kukubaliana na ukweli kwamba lazima sheria ya umiliki wa ardhi Kenya ibadilishwe kutokana na hii ya sasa kuwadhulumu wananchi wengi wa Kenya na kuikabidhi ardhi kwa wanasiasa na matajiri wachache, huwezi kuuza ardhi kama unavyouza gari, ardhi ndio nchi, huwezi kuwa na nchi bila ardhi, sasa kama mnauza ardhi tena kwa wazungu, maana yake mnauza nchi yenu, tumieni akili achenu uzuzu.
uheheheh so things cheap is LDC na vp kuhusu kupunguza inflation ikiwa unga kupanda bei munahara na vingine vipi?????😂😂😂😂😂👇👏👏👏👏Hya nenda sauzi ukaangalie bei km iko chini ya bongo au juu...ldc always vitu vyake ni cheap..thats baadhi ya wakenya hununua magari yao tz au ug ili kupunguza gharama
trump mume wenu munaemramba matako anakula chips 😂😂😂😂😂Utakulaje chips wewe mtoto wa kiume..hhhh!!!kumbe hyo jamaa ni kidada cha jf
Huko kwenu wanafanya mtihani wao lini?
Duh!!!hyu jamaa nomaHalafu ni chipsi na kuku na hajui zimepikwa kwa mafuta ya aina gani. Pengine yako na cholesterol na anakula hiki chakula usiku, hafanyi mazoezi anashinda mitandaoni. Anahatarisha afya yake huyu na hajui .sidhani kama anaelewa maana ya lishe bora.
akiniletea ushahidi chipsi inaongeza wowowo anitaj😂😂😂👏👏👏👏Siajabu huyu ichoboy anabonge la wowowoo
Tar 5 Nov madogo wanaanzaHuko kwenu wanafanya mtihani wao lini?
ukipata official link from specialists nitag bro😂😂😂👏👏👏👏amenishangaza kweli huyo jamaa. yaani kwa jinsi kula chipsi au viazi inavosemekana kuongeza 'wowowo' kwa kina dada zetu,,, kisha anakuja baradhuli mmoja na kusimama mbele ya wanaume na kusema kua yeye anakula chipsi. sasa mimi nashindwa alikuwa na dhamira gani au anadhani tutamchukulia vipi?
Hovyo kabisa, huko kwenumuuzia MTU ardhi inakua ni Mali yake binafsi kama anavyomiliki gari, anaweza kuamua kuiacha bila kuifanyia lolote hata miaka 50, wakati wananchi hawana ardhi ya kuzalisha chakula na kufanya shughuli zingine za maendeleo, stupid.Hao wazungu ni akina nani...hhhh!!!hta wewe kuja ununue uone nikm utaibeba urudi nayo kwenu....utabaki kusema una ardhi kenya u invest na ulipe kodi...hakuna zaidi
Ichoboy anaweza consume cholesterol kwa wingi kwa sababu mko na hospitali nzuri za kutibu magonjwa ya moyo na ana hela nyingi za kutibiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ichoboy anaweza consume cholesterol kwa wingi kwa sababu mko na hospitali nzuri za kutibu magonjwa ya moyo na ana hela nyingi za kutibiwa.
You wanted the definition of cholesterol? Hebu angalia swali lako vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hao this is a definition of cholesterol?
What do you about cholesterol?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app[/QUOTE
Susan? Uliza maswali yako vizuri ujibiwe. Ukiuliza swali hivi nitaelewaje?
Habari njemaKudos Dr. Reginald Mengi.
Tanzania ya viwanda.View attachment 916361
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Cholesterol is a moleculeOkey Susan z replying
The qn was what do you kno abt cholesterol n sorry for the typing error occured