Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi is such a vibrant and diverse city. Just as our matatu graffiti culture Our street graffiti culture is strong too.
 
hahaha next year utakua ukisema Dar ya 2018
tutasema kila mwaka kwasababu maendeleo yanaenda kwa speed kila mwka na tanzania inabadilika kila mwaka😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ni matano na hii ni baada ya wenzako kuzua tuondoe Golf Course Hotel and the two Delta Towers. Ama nikupe list tena uangalie?
 
Kwikwikwiiiii naipenda dar lkn hatuifikii nairob kwa kwel,,, Nairob inashka nafac ya tatu kwa mij bora afrika lkn dar ya nane tena tupewa nafac hyo kwa kuw ni mji unaokua kwa kas sana ko bado washkaj tuendelee kuukuza
mtafungua accounts nyingi sana safari hiiiiiiiiiii😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 mambo yamekua tyt sana🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
.
Miradi mikubwa kama huu kwa Kawe city umesimama na ulikuwa umeshaanza na wa kigamboni city nao haueleweki umeishia wapi.
aliekwambia umesmama ni nani???? au nioneshe mradi uliosmama unaongea tu kujifurahisha nafsi yako au??? ongea kitu ukiwa na facts uliza ujibiwe
 
Kwikwikwiiiii naipenda dar lkn hatuifikii nairob kwa kwel,,, Nairob inashka nafac ya tatu kwa mij bora afrika lkn dar ya nane tena tupewa nafac hyo kwa kuw ni mji unaokua kwa kas sana ko bado washkaj tuendelee kuukuza
kek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…