Prevention is better than cure....bragging about heart surgeries is a no no
Business ya maradhi hatar sana........U get pain bro....chillax homie [emoji1][emoji6][emoji1]
Rafiki chokoraa umeibuka namba ngapi shuleni si tulikubaliana unaniletea report card yako baada ya kila muhula ndio nikupee pocket money ya muhula ujao....hebu heshimu wakubwa wako...ala!U get pain bro....chillax homie [emoji1][emoji6][emoji1]
Izo ni cheap excuse ,mm najua kupika vyakula vingi sana,na siajabu nmekuzidi na maisha badoKupika wachia mwanamke.....bachelors tunajua kupika nyama samaki na ugali.....
Rafiki chokoraa umeibuka namba ngapi shuleni si tulikubaliana unaniletea report card yako baada ya kila muhula ndio nikupee pocket money ya muhula ujao....hebu heshimu wakubwa wako...ala!
Ok...........We only know each other on jamii forum.I only cook male foodIzo ni cheap excuse ,mm najua kupika vyakula vingi sana,na siajabu nmekuzidi na maisha bado
Hebu niongeleshe kwa heshima ya mtanzania "naomba "Sawa sawa tajiri kichwa nimekuelewa ngoja nikuheshimu mkubwa
Hebu niongeleshe kwa heshima ya mtanzania "naomba "
Divide by 21 bobukhekhekehekene[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji382][emoji382] tena msasani hio
View attachment 915480
ulinambia nikuletee nyumba inayouzwa 3million usd sasa mm nakuletea 5million usd[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382]masakiView attachment 915485
Picha za watoto wako jiekee buda[emoji39][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]MLDC kenyan society On flik
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 915613View attachment 915614View attachment 915615View attachment 915617
Mama, times has changed, hata Ng'ombe na Kuku wameacha Kupigana siku hizi, Agree?Yaañi jitu linakula junky foods halafu linaringa? Hata pilau huwa wanaringa nayo. Ndio maana hawana nguvu za kuchapana. Mwanaume was Kenya anashika wabongo wawili anawatandika vizuri kama mahindi kwa gunia na wanalojua ni hili sojaa sojaaaaaa tumevamiwa.
Nilicheka sana wallahi.
Huwezi kula wali halafu uje kupimana nguvu na yule aliyekula ugali.Utaharibiwa sura bwana
Hata hao Namibia wanategemea Medical Doctors from Tz,alaf wanataka kushindana na tanzania kwenye mambo ya health[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
hio ni tomato sauce iko transparent ivo??nakumbuka nilipokua mombasa maeneo ya mwembe tayari a chiken chips like this nilinunua 9000 tsh wakat hii nimenunua hapa ilala sasa hvi 3500😂😂😂😂 alaf mbongo aje kutafuta maisha kenya how???View attachment 915513
hilo pia ni jambo la kujisifia???Izo ni cheap excuse ,mm najua kupika vyakula vingi sana,na siajabu nmekuzidi na maisha bado
Hakuna New York of Africa, acha kujishusha ,Asian cities like Tokyo are more developed than newyork in every aspect hutawasikia wakisema ni newyork of Asia
wacha wewe.... ugua pole pole.Sio wengi bali ni kiduchu, makamanda uchwara wa ufipa. Hao wasikupe tabu.
ldc tz kumepoa sana!!! ni kama they cannot afford air tickets.
Maskini kunyaland,mnataarifa Tz kuna maendeleo na miradi mingi inaendelea haijapata kutokea EAC .