Tz serikali inamiliki ardhi..hyo unapinga pia
nakumbuka nilipokua mombasa maeneo ya mwembe tayari a chiken chips like this nilinunua 9000 tsh wakat hii nimenunua hapa ilala sasa hvi 3500[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaf mbongo aje kutafuta maisha kenya how???View attachment 915513
YaaΓ±i jitu linakula junky foods halafu linaringa? Hata pilau huwa wanaringa nayo. Ndio maana hawana nguvu za kuchapana. Mwanaume was Kenya anashika wabongo wawili anawatandika vizuri kama mahindi kwa gunia na wanalojua ni hili sojaa sojaaaaaa tumevamiwa.
Nilicheka sana wallahi.
Huwezi kula wali halafu uje kupimana nguvu na yule aliyekula ugali.Utaharibiwa sura bwana
Tomato sauce yenyewe imeongezwa maji.....pwahahahahahanakumbuka nilipokua mombasa maeneo ya mwembe tayari a chiken chips like this nilinunua 9000 tsh wakat hii nimenunua hapa ilala sasa hvi 3500[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaf mbongo aje kutafuta maisha kenya how???View attachment 915513
Hio Ndio tofauti ya jiji na kijiji[emoji23] [emoji23]most powerfull cities in their continents respectively
View attachment 915459
wacha hasira bana ππππTomato sauce yenyewe imeongezwa maji.....pwahahahahaha
Kijiji cha uvuvi tunajua ni wapi....heloo cnnHio Ndio tofauti ya jiji na kijiji[emoji23] [emoji23]
still expensive bro ππππππMost downtown joints in Nairobi fries na quarter chicken is as low as 200 bob
My favourite cheat meal is pilau with thick chicken stew escorted with some nice tropical smoothie....especially Ile ya Kilimanjaro joint hapo kimathi street.....Chips na kuku fry niliachana nayostill expensive bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382]
Ichoboy jamaa wamepita wima jioni hii lazima wakukebehi tu,Ila nn hii msosi naipenda sananakumbuka nilipokua mombasa maeneo ya mwembe tayari a chiken chips like this nilinunua 9000 tsh wakat hii nimenunua hapa ilala sasa hvi 3500[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaf mbongo aje kutafuta maisha kenya how???View attachment 915513
NBO nalo Ni jiji mbele ya NY? Acha aibu zakoKijiji cha uvuvi tunajua ni wapi....heloo cnn
Hamjui kupika, hadi pilau ukale hotelini ?mnajua nn hasa?My favourite cheat meal is pilau with thick chicken stew escorted with some nice tropical smoothie....especially Ile ya Kilimanjaro joint hapo kimathi street.....Chips na kuku fry niliachana nayo
alaf wanataka kushindana na tanzania kwenye mambo ya health[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kupika wachia mwanamke.....bachelors tunajua kupika nyama samaki na ugali.....Hamjui kupika, hadi pilau ukale hotelini ?mnajua nn hasa?
Watasugua sana hawa wakenya...