Hamna maghorofa tz.nilikuwa naongea kuhusu nyumba za tope vijijini. Acha kujitoa ufahamu. Ukweli ndio huu, hamjui kinachoendelea kwenu kwa sababu mnatafuta mapungufu ya Kenya kuja kuyaanika humu.Hata MTU akijitia kitanzi kuna wale wamebobea katika hiyo kazi ya kuzileta hizo habari humu. Umewahi ona mkenya yeyote akifanya hivyo? Si mnaweza lialia hadi kwa mods apigwe ban?
NBO ina CBD moja kuukuu
Westy,uppermafi,kilimani Ni miji michanga
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
mm nakuhakikishia magorofa yalioko dar kusanya magorofa yote nairobi + kisumu+ mombasa still huipati dar kwa magorofa 😂😂😂😂😂😂😂😂Hamna maghorofa tz.nilikuwa naongea kuhusu nyumba za tope vijijini. Acha kujitoa ufahamu. Ukweli ndio huu, hamjui kinachoendelea kwenu kwa sababu mnatafuta mapungufu ya Kenya kuja kuyaanika humu.Hata MTU akijitia kitanzi kuna wale wamebobea katika hiyo kazi ya kuzileta hizo habari humu. Umewahi ona mkenya yeyote akifanya hivyo? Si mnaweza lialia hadi kwa mods apigwe ban?
so unatuonesha lile ambalo lilitakiwa kua na 42 ili utuamisnishe yote ni over 30 hapo lilipo halijafika 32floors so ????? 😂😂😂😂Those who were doubting the number of floors on these babies are welcome to count.View attachment 912475View attachment 912475
so westy ni CBD na upperhill pia CBD😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wako na CBD 5[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawajui hata maana ya CBD Hawa na shule zao za kuungaungaWako na CBD 5[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sio wewe uliesema kua Kiriakoo chini ni Cbd, juu ni residential?Hawajui hata maana ya CBD Hawa na shule zao za kuungaunga
Uppermafi ni nini Susan?NBO ina CBD moja kuukuu
Westy,uppermafi,kilimani Ni miji michanga
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hii ndio Nbo CBD wala huhitaji kuuliza sasa tuonyeshe vichaka vya the rest places if any
Lini ?sio wewe uliesema kua Kiriakoo chini ni Cbd, juu ni residential?
Btw ilikuaje chuo kikuu kikajengwa CBD? ?
very small dah ndio munataka kushindanisha na dar CBD hahahaha😀😀😀😀😀 munakazi nzito sana
Leta picha zikianguka hata hizo za tope.
There are some values which I can't compromise in my life and one of them is humanity.have a nice day boy.Leta picha zikianguka hata hizo za tope.
Those who were doubting the number of floors on these babies are welcome to count.View attachment 912475View attachment 912475
Hii picha imepigwa Mbezi beach ni umbali wa 20km from CBDThere are some values which I can't compromise in my life and one of them is humanity.have a nice day boy.
Nairobi - Kajiado = 62km (1hr)County gani ni iko mbali zaidi kutoka cbd na km ngapi??
Hii picha imepigwa Mbezi beach ni umbali wa 20km from CBDView attachment 912487