wow!! nyumba za ghorofa hadi vitongojini... tena ghorofa 8 na ilifaa ifike ghorofa kumi na hatuna mbwembwe. tumetulia tuli! yaani ni jambo la kawaida sana.Laporomoka jingine , Majengo ya Kenya banaView attachment 911740
Jichoboy is it necessary to expose some stuffs here? Am gentle and I respect the poor unlike you .Many are watching and reading what we post here.
Mji mbovuView attachment 911743
akuletee na ushahidi kua hapo dar nafunga account jamii forumπππππππWatakuambia hapo ni Lagos.ππππ
Kumbe we pia umeona vile IQ yake iko chini. Wakenya tunajua Tz iko na umasikini but hutapata tukiweka picha zao hapa. Sasa Ichoboy anapost watu maskini hapa as if ako sure wajukuu wake watakuwa matajiri. In future utapata wajukuu wa hao ambao anawapost ndio wana anika watoto wa Ichiboy wakiwa Tandale hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
munalia na ichoboy sasa awasaidie nini??? umaskini wakwenu ichoboy anahusika vpπππππππππHilo siwezi. Si vizuri kuanika watu humu ama kutajataja majina yao kiholela. Ni watu wengi sana wanafuatilia tunachoandika humu na picha zinazopostiwa pia.
hahahahaha... hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Nairobi CBDView attachment 911694View attachment 911695View attachment 911696View attachment 911701
mainjinia wao huwa wanaenda university kusomea kuzungumza kingereza. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Laporomoka jingine , Majengo ya Kenya banaView attachment 911740
Hapa niambie ni nyumba ipi inaeza poromoka?[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]mainjinia wao huwa wanaenda university kusomea kuzungumza kingereza. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wow!! nyumba za ghorofa hadi vitongojini... tena ghorofa 8 na ilifaa ifike ghorofa kumi na hatuna mbwembwe. tumetulia tuli! yaani ni jambo la kawaida sana.
sasa nyinyi nyumba zenu hazina ghorofa, ni saa ngapi itaporomoka? na laiti mukipata jumba la ghorofa kama Mbeya City, lazma muchinje ng'ombe.
Aiii! Wewe ndiye mwehu kabisa.haya maneno hayawezi toka kwa adinasi mwenye akili timamu
Laporomoka jingine , Majengo ya Kenya banaView attachment 911740
Utapata taabu sana kijana. Endelea kufurahishwa na mapungufu ya Kenya huku ndugu zako wakiteseka. Mmechukua hatua gani kusaidia wale wanaoporomokewa na nyumba za tope kule mashinani?Ha haa[emoji1][emoji1]tizama na hicho kibanda kingine cha mbele yake soon nacho kitadrop
Kweli yajayo yanafurahisha
IkrWewe huna akili.
i knowWewe huna akili.
We umefika Mombasa kweli?Tall buildings in dar doesn't mean dar is ahead of Mombasa.
πππππkitu ambacho tanzania tumeanza muda leo ndugu zetu ndio wanatafuta shuka kumekuchaππππππππππ
πππππππππππππ
View attachment 911789View attachment 911790
View attachment 911798View attachment 911799
Utapata taabu sana kijana. Endelea kufurahishwa na mapungufu ya Kenya huku ndugu zako wakiteseka. Mmechukua hatua gani kusaidia wale wanaoporomokewa na nyumba za tope kule mashinani?
itaangushwa saa ngapi sasa na ilhali hakuna??? si kwanza muwe na nyumba za ghorofa ndio uje mezani tuongee.Hata huko mashinani hakuna nyumba inayoangushwa na upepo.
Leta taarifa za mijini hata dsm dhorofa likianguka.
Ulikosa ndio ukaomba moja ianguke ndio uniletea....vp kuhusu ya jana juzi na last month...naona umeleta ya leo na kujipiga kifua...na si umesema ni kila siku...leta za siku zilizopita pia...hta kesho pia ukipata utaniletea[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]kuna siku ulinambia nikuoneshe building gani ime collapse hvi karibuni sasa mm nakuonesha ya leo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
waleteni engineer wenu waje kusoma huku tafadhalini sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] engineer anasema wind ndio imeangusha mbona building zingine hazikuanguka???[emoji38][emoji38]