Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umefuta mwaka ukasahua kufuta Raila Odinga kuwa prime minister!! Hii ni TBT msee, mlifanya yote haya na bado tuna wakalisha kwenye kuvutia watalii na ku generate revenue. Jipangeni upya
sasa imagine masai mara kuna hotel zimedrop mpaka 20usd per night yani watalii hakuna na niswali la kujiuliza sana kwann wao walipoanzisha VAT kwenye tourism wakafeli alafu wakatoa tulipoanzisha sisi tukafaulu na bado revenue imefika 2.4b usd last year wao wamekusanya 800m usd alaf anakuja waziri wao balala analeta hoja za kitoto eti tanzania ina hoteli za kisasa zaidi kuliko kenya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani hua hawataki kukubali direct kua wamezidiwa
 
msije mkatoa excuse kwamba hatukuwapa taarifa. tunataka muhudhurie kwa wingi katika viwanja vya uhuru park.
viva tanzania. [emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
msije mkatoa excuse kwamba hatukuwapa taarifa. tunataka muhudhurie kwa wingi katika viwanja vya uhuru park.
viva tanzania. [emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 911357
diamond anaenda kukusanya pesa za kina elmatador na wenzake wampe pesa kwa wingi aje afungue miradi tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
gorofa linalojengwa liangushwe na upepo mbona mengine hayakuangushwa ????? yani lianguke linalojengwa tu mengine yanayojengwa hua hayaanguki, baby girl mambo ya ujenzi wachia wanume we shugulika na kutandika kitanda πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
That's what I meant. Wealthy folks in Tanzania originated from India ,others are paksitans and Arabs but acquired Tanzanian citizenship.
Kupata utajiri lazima uwe mfanyabiashara ,kwa watanzania wafanyabiashara wengi kutoka kask ndio wenye fedha nyingi na wametapakaa kila kona!!fuatilia jamii ya wachagga kutoka kilimanjaro utanielewa
 
That's what I meant. Wealthy folks in Tanzania originated from India ,others are paksitans and Arabs but acquired Tanzanian citizenship.
Hamna kitu kama hiko.. uraia wa Tz hautolewi kienyeji. Nitajie mmoja ambae una mjua amekuja Tz nakupewa uraia. Mbona lipo clear hili, hao akina bakhressa ata baba zao ni wazawa wa Tz.
 
Kujilinganisha na Nairobi ni sawa kuchukua Keki na Mkate ulinganishe ladha,Nairobi ina finished projects nyingi nzuri,alafu sisi ndio tunaanza project tena chache,wakitupatia project zao mpya wanazotaka kuzianza tutakimbia
 
Nlikumbia haujui nairobi kuna tofauti ya uhuru park na uhuru gardens...na una claim ulikaa hapa for 6 months..nugu...kujulia nai kwa internet sio kufika nai
msije mkatoa excuse kwamba hatukuwapa taarifa. tunataka muhudhurie kwa wingi katika viwanja vya uhuru park.
viva tanzania. [emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 911357
 
diamond anaenda kukusanya pesa za kina elmatador na wenzake wampe pesa kwa wingi aje afungue miradi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
The great republic ya kenya ime organise iyo show itapata pesa mingi sana alafu analipa wasafi wote anabaki na pesa mingi zaidi..ma event organizers wanatumiaga wasani wa bongo kupata pesa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…