Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

flyover ndio maendeleo kweli na hawa watu vp au ni monkeys hawana thamani[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382] au kwenu maendeleo ni watu kufa na njaa

Hhhhh!!!umeumwa....tuma tena hyo picha km itawatoa ldc
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hawa wasee hawajawahi kanyaga kenya.....ni bidii tu
 
mpe hiii apumzike😂😂😂👇👇👇
 
wahindi waarabu ni watanzania au nikuletee nationality zao hapa we kilaza kweli
Mbna weusi wasiamke basi..au wao peke yao ndo wako na akili wengine vilaza..
Nmekumbuka huaga mnatumia 1% ya akili zenu
 
Vp kuhusu fertile land na bado mko ldc na maskini wengi..nahitaji kujua
 
Hhhhh!!!umeumwa....tuma tena hyo picha km itawatoa ldc
labda nikupe history tanzania ilipoteza nguvu zake nyingi sana kuwasaidia nchi za afrika kupata uhuru na pia tanzania ilisubiri sana kutumia rasilimali zake ili ihakikishe vijana wanasoma ili kuja kutumia rasilimali za nchi ndio maana unaona leo hii tanzania ina watu million 54 lakini haina shida kwenye mambo ya unemployment cha kushangaza muko 47 ila muna unemployment rate over 40%😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏
 
hehehhe jibu la angola umelikosa kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Wacha kuruka ruka...mtu wa ldc huaga hana fikra za mbali..hutaka kujuwa ya wenzake na yake hayajui....fertile land na bado mko ldc
 
Wacha kuruka ruka...mtu wa ldc huaga hana fikra za mbali..hutaka kujuwa ya wenzake na yake hayajui....fertile land na bado mko ldc
lakini tanzania ukumbuke imeanza kudevelop for just 13 yrs ago hilo ulijue pia😂😂😂😂 lakini inakutoeni kamasi hapa
 
Ila!!!hhhh!!nmecheka sana...yani mna kazi na bado maskini ni wengi...
 
Keeping in Mind Kenya hosts over 30,000 refugees from Ethiopia alone, 44,000 S.Sudan refugees and 492,000 Somali refugees! In northern Kenya. Some of these poor communities you are posting here originated from war torn countries bordering Kenya who seek refuge in Kenya.
MLDC hvi kweli??[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…