Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha Dar embu oneni [emoji23][emoji23]
Halafu hiyo picha ya Nairobi ni mwaka huu 2017 evidence ni hiyo parliament tower Dar hata MNF haionekni TPA ilikua bado hata Cladding, ,Mzizima Ndio kabisaaa 。sasa tuheshimiane, Ni aibu kwa majigambo mnayoyatoa kule kwenye above 20 mpka 18/18 hadi mwanzisha thread kala kona . CBD tatu hizo. Kama bongo manyoidharau inawafanya mnapumulia machine. Halafu mnasema level yenu ni Johannesburg???? Hamna hata public transportation ya maana. Duh.
 
haii we unaota ulishindwa kutuma picha za SUBURBS,FLYOVERS INTERCHANGES ETC
nakwambia kwa hyo style ya city yenu....ni kichuguu city yaan mpo pabaya ......kwenye yetu bado kule ng'ambo upande wa pili kutoka bahari kule ndyo tunaishusha city zaidi ya london....soon mtaona ghorofa zimepanda
 
Iyo photo yenu imekaribia camera ya Nai ni far na camera...then mmechapa cbd tu(tower mbili tu) hamna any..kelele za vuvuzela
 
Iyo camera ni far sana..kuitumia kama inference.
unanigurahisha mpaka nime like wew unapenda jifariji ila ukweli ni bado nai hakujajengeka ....msijaribu kucompare nai na dar labda mshindane na sisi kwa barabara tena za center za fly over ila mkija kwenye road za kuelekea mikoani hamtugusi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Iyo photo yenu imekaribia camera ya Nai ni far na camera...then mmechapa cbd tu(tower mbili tu) hamna any..kelele za vuvuzela
Kuna kitu kinaitwa density. Dar ni height na Density , yaani Proper density. Angalia mapengo hapo Old CBD yenu hata Upper hill mtasubiri sana kuwa na cluster Kama hizi za Dar. Eti photo inakaribia na camera. You mean zoomed a lot ? How about this Shot here? My friend Dar is about Height and Density.

DSC_1021 by Brandon Chicago, on Flickr
 
sipendagi kurudia rudia photo lakini imenibidi kutokana na uhitaji wa mkenya mwenzenu nampa baadhi zile za kibabe nikimpa atalia ngoja nimpe simple houses
kibabeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha si nyinyi kwenye ile thread nyingine mlisema local media "zenyu" hazi-report issues za tz?.kweli njia ya muongo ni fupi.
 
Hehe unapenda kuhepa ukweli izo camera in different distance different angles...na haiezi tumika kufanya inference
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…