Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
Hilo ni ndogo sana! Hiyo ilikuwa ni maoni yangu tu baada ya kuona hiyo taarifa, lakini kama nyinyi ni kama mbuni ndege, sawa, twende kama kawaida!!Hawa kwa sasa wanaweweseka sana. Wanatafuta kila mbinu kuichafua Dar es salaam. Hii thread mpaka UK ameupitia. Media zote za kenya zimepita hapa. Kwahiyo wanatafuta watoke vipi.
Tumeshawagonga na tumemaliza.
Nimesema mnaweweseka sana. Maana hii thread imewaabisha mno. Tangu uanze kutupia mambo ni ya kawaida sana. Mpaka hapa hamna uwezo tena wa kukashifu Dar. Jiandaeni tu kisaikolojia la sivy mtakufa na heart attacksHilo ni ndogo sana! Hiyo ilikuwa ni maoni yangu tu baada ya kuona hiyo taarifa, lakini kama nyinyi ni kama mbuni ndege, sawa, twende kama kawaida!!
Hahahaha yani aerial view haidangaji...yule naesema dar ni tower mbili mbona hapo sioni ata moja? Alafu kama kabul tu msemo wa depay....hakuna mbwembwe apo tenaNAIROBAE YOTE HII HAPA CBD TATU, SUBURBS, ECT NA KUNA MTU ALISEMA DAR INAONEKANA KAVU HAINA HATA MITI.
Ati UK amepitia..haha si unaotaga man....dar hata haitishi Nai in anywayHawa kwa sasa wanaweweseka sana. Wanatafuta kila mbinu kuichafua Dar es salaam. Hii thread mpaka UK ameupitia. Media zote za kenya zimepita hapa. Kwahiyo wanatafuta watoke vipi.
Tumeshawagonga na tumemaliza.
Umeona vile ni kubwa..umetiiNAIROBAE YOTE HII HAPA CBD TATU, SUBURBS, ECT NA KUNA MTU ALISEMA DAR INAONEKANA KAVU HAINA HATA MITI.
Umekuja tena kichwa uchi. Nadhani akina Njoroge walikutuma uje uwatetee. But too late tayari tumeshawachapa and message sent and delivered.Ati UK amepitia..haha si unaotaga man....dar hata haitishi Nai in anyway
Nn kikubwa apo?embu subiri uone vikubwa weweUmeona vile ni kubwa..umetii
wakongwe walishatengenezaga battle na tukawachapa aisee........r.I.pZipo, si mlete evidence
ha ha haa wakenya sishangai kuona hzo habar kwani mnachotafuta si ndyo hicho mna4c ili mjifariji mlibganishe na kibera ....hiko ni kipindi cha mvua vitu kama izo katika mazingira ya soko havikosi kipindi cha mvuaYarabi, kumekuwa na taarifa kwenye KTN kuhusu Dar is Slum, imenichukiza sana! Hili soko kweli ni chakula cha watu kinauzwa huko??
Kuanza leo nikisikia Mtazania anaongea kuhusu Kibera nitajua ni mwehu daaah, wacha tukae tukijuzana uzuri wa majiji yetu, sababu daah!! Hii noma vile
View attachment 497505 View attachment 497506
kuna video nitakutumia katoa huko huko....na enos orikSafi sana huyu kijana, bado ndo anaibuka sivyo??
asa ndyo jiji hilo ...NAIROBAE YOTE HII HAPA CBD TATU, SUBURBS, ECT NA KUNA MTU ALISEMA DAR INAONEKANA KAVU HAINA HATA MITI.
Haha we unaotaga sana dar hakuna msee anajua Kenya....tunaheshimu Johannesburg na Cairo pekee hii africaUmekuja tena kichwa uchi. Nadhani akina Njoroge walikutuma uje uwatetee. But too late tayari tumeshawachapa and message sent and delivered.
Hapo umekuja kupoteza muda. Hii thread imemaliza kila kitu.
asa atii nin wakati ni ndogo hafu bado haijajengeka mnaiita city ha ha haaUmeona vile ni kubwa..umetii
haii we unaota ulishindwa kutuma picha za SUBURBS,FLYOVERS INTERCHANGES ETCView attachment 497589[emoji3]...yaani picha hii ndyo nilikuwa naitaka hebu tazama hako kanairobi......nyie wakenya punguzeni ushamba kweli hii uta compare na dar kweli kadri miaka inavyozidi sogea mnaimani kabisa kama tutakuwa same table...ah dah kwa huu mchezo mmeumia
Hahaha Dar embu oneni [emoji23][emoji23]
izo picha si same ya nai imechapwa na mbali yenu imekaribia...unataka kutuonyesha 2 towers 2Hahaha Dar embu oneni [emoji23][emoji23]
mcheki tena huyo young dar es salaam .....tulimleta kidogo bongo enos olikSafi sana huyu kijana, bado ndo anaibuka sivyo??
ulituchapa aje sasa...hamkutuma photos za suburbs,interchanges,super highways etc...dar is slum cant be compared with nairobi dude and we are never afraid of dar in any way coz every time they mention African cities we here of lagos,joburg,cairo,capetown and nairobi oflate we have heard of luanda and accra....dar bado msee u still have more hundles...for now u can compare to mombasaUmekuja tena kichwa uchi. Nadhani akina Njoroge walikutuma uje uwatetee. But too late tayari tumeshawachapa and message sent and delivered.
Hapo umekuja kupoteza muda. Hii thread imemaliza kila kitu.