Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Wakati huo kinondoni haipo kabisa hapo,yaani umeiacha kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]nimewaambia 2020 watajua walikuwa wamelala,wakanitukana.
 
Wakati huo kinondoni haipo kabisa hapo,yaani umeiacha kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]nimewaambia 2020 watajua walikuwa wamelala,wakanitukana.
hapa sasa hvi hawaamini vp hio hio 2020😂😂😂😂😂😂 anatuonesha uchafu wa kilimani na westland ye anafkiri hzo avic ndio amemaliza kabisa😆😆😆
 
Spot the 4 cbd kwanza,mzee wa cbd halafu tuendelee mimi nitakuonyesha mpaka kibanda unachoishi.
pumba si ndio nasema hii picha ni 70s-80s izo enzi cbd ilikua moja sasa ziko nne,hizi hapa chini ni 3 distinct cbds na kilimani ya nne ni upcoming .
1.old cbd
2.upperhill
3.westlands
4.kilimani(upcoming)
 

Attachments

  • tapatalk_1539759336852.jpeg
    51.5 KB · Views: 34
we're flattered, you do realize that you are comparing Dar 2014 and Nairobi 2018 right?
Haya weka dar 2018 tunajua hamna ongoing projects kwa sasa mshakwama for another 10 or more years.....😛
 
tv channel gan kenya inaweza kuonyesha mechi za mpira zaid ya mbili live kwa siku moja ?View attachment 900698
Kuna Bamba tv ndiyo walipewa rights za ku air ligi yao. Kama umezoea kuangalia Azam sports uki tizama hiyo bamba kwa zaidi ya dakika 3 utakua na PHD ya uvumilivu! Poor sound, picha ndyo balaa maukungu, slow mo za hovyo kama una watch world cup enzi za kina pele [emoji1]
 

Hahaaa mzee wa cbd nne,leta aerial ya hizo cbd zote nne combined[emoji23][emoji23][emoji23].

Unasema ya 70 wakati ile picha ina prism wewe mtu hauko sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…