Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

@tuusan njoo uone venye mchina anafanya kazi kimya kimya Hadi Raha yaani anajenga pillars kama Mia moja kwa mpigo saa zile mturuki ni maneno Tu pale posta anajenga nne kwa miezi mbili.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
pale wanaposemaga kuwa oh nairobi cbd watu wapo civilized, dar watu wanabeba ndoo hivi watu wanaelewa maana ya civilization? anyway central
nbo hiyo
 

Yaani ulivyo empty kichwani una guts za kuni quote tena[emoji2][emoji2][emoji2]???new york ina cbd moja nai ina nne,narudia tena nugu hujui maana ya CBD.
 
Hahaaaaa ni nai pekee inatosha katika picha moja,spot all 4 cbds.mzee wa cbd[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa nionyeshe Westlands, parklands kilimani, kileleswa hapo alafu ukinionesha nahama jamii forum for life.,....picha ya 1974 miaka kumi baada ya kupata Uhuru ndio Una kurupuka nayo.....hii dar ya 2018
 
Yaani ulivyo empty kichwani una guts za kuni quote tena[emoji2][emoji2][emoji2]???new york ina cbd moja nai ina nne,narudia tena nugu hujui maana ya CBD.
Kama huwezi kuelewa simple sentence kama izi hapa chini Mimi nahurumia shule za bongo....nenda karejeshewe school fee yako we pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…