Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu utapata shida sana kama ulikua huwajui Wakenya ni wabaguzi sana haswa kwa makabila utakuta mara Luo man, this Kalenjin woman, mara kikuyu guy ni kama wanigeria vile hawawezi zungumnza kitu mpaka wahusishe kabila
not really.
acha kupotosha watu. hakuna ubaguzi Kenya.
 
Aiseh mpaka sijaamini, nimeona video insta gigy akimwaga kingee, yan nikashangaa utadhan sio yeye , gigy anajifanyaga chizi but kichwani kidogo zimo, japokua anachanganya tense but she is so articulate , akijitahidi atafika mbali, hongera zake
heri yeye anajaribu.
jichoboy na hermonyze hawawezi kutunga hata sentensi moja kuyaokoa maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…