nakumbuka rafiki yangu mmoja alikuwa kilaza sana class. wazazi wake walikuwa wapo vizuri kwenye suala kipato, so wakaamua kumuhamishia kenya.Daah kweli kaka..umenikumbusha mbali sanaa walikua wanawapeleka Uganda na Kenya halafu wakawa wakirudi na Kiingereza kingi kichwani maarifa empty. Kenya ninachokubali wanatushinda ni Kiingereza tu na ndo mana wakija huku wanakuja kufundisha Kiingereza tuu na makazini ktk maofisi wanakuja kufanya marketing sababu ya Kiingereza. Sijawahi kuona Injinia na dakitari anaeweza kuja ku compete hapa Bongo.
unajibishana na kilaza housemaid?.... utapoteza mda wako. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena wew ndo unyamaze kabisaa maana hata Cosh ulikiri huijui
Form four wa Kenya hatoboi hapanaona wameanza tena zile dharau zao baada ya kupita siku kadhaa. msidhani tumesahau.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 894115View attachment 894116View attachment 894117View attachment 894118View attachment 894119View attachment 894120View attachment 894121
watatoboa kwa kuongea kingereza na kupiga porojo... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Form four wa Kenya hatoboi hapa
Hahahaaa kumbe ni beki tatu nlikua sjuiunajibishana na kilaza housemaid?.... utapoteza mda wako. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yow bro...this is kenya
Kenya
kwani hatuna malls, kwani cruise hips hazijawahi kufika Dar port? kwani hatujengi sgr? tena yenu mnaliwa hela na wachina na ninasikia karibia wachukue mombasa port. Serikali yenu iko desperate sana sasa hivi kufuta deni na china mpaka wakatoa proposal ya kutax gasoline up to 16% halafu unataka kuniambia hivyo ni vya kwenu? majengo sio muhimu kama seriakali au wananchi hawafaidiki na chochote.
wakenya nin hichi mlichofanya tena?[emoji32][emoji32]View attachment 893856View attachment 893857View attachment 893858View attachment 893859
nairobi imeshindwa kukimbiza itakua hio mombasa😂😂😂😂😂😂Mombasa inakimbiza Dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yet you still find some fools comparing it to Mwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23]
Hapa ni Kenya wapi
Mombasa inakimbiza Dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yet you still find some fools comparing it to Mwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23]
👏👏👏👇👇👇👇👇
naona wameanza tena zile dharau zao baada ya kupita siku kadhaa. msidhani tumesahau.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 894115View attachment 894116View attachment 894117View attachment 894118View attachment 894119View attachment 894120View attachment 894121