Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Lazima kieleweke. Kwanza wakubali elimu yao ni duni ndio tuendelee. Wanaringa na PCB unaweza dhani ni kitu complicated. Kumbe ni visayansi wanatry ku glorify.Mwingine alisema Kenya hatufanyi practicals kama titration ya chem. Tuliifanya form 3.wao wanaifanya form 6unakumbuka zain africa challenge vile walikuwa wakichujwa wote round one hahahaha..................kelele ndio wamejuanga kupiga
Lazima kieleweke. Kwanza wakubali elimu yao ni duni ndio tuendelee. Wanaringa na PCB unaweza dhani ni kitu complicated. Kumbe ni visayansi wanatry ku glorify.Mwingine alisema Kenya hatufanyi practicals kama titration ya chem. Tuliifanya form 3.wao wanaifanya form 6
lol....................mfumo wa enzi za babu zetu.......dynamism is inevitable................the world is changing.....................nowonder wasee wamekwamia ldc list ya aibu dunianipeople still living in the zinjanthropus era. Mfumo wa 1970's Kenya ndio wanautumia. So pathetic
Ethiopia0-0 Kenya full time
I knew they were going to draw.
Kenyans are unbeatable
Now that the game was a draw, what next? Will Kenya still retain it's position in the list or?if we win in Nairobi tumeingia Afcon...........though our football team is not something to bank hopes on
😀😀😀halafu Anna anaturingia na tuhesabu twa substitution na integration. Kuji-console zaidi anadanganya periodic table inafanywa na watoto wa primary huko kwao. Geography ya class 4 inafunzwa form 3.good definition of an LDC country with LDCic mindslol....................mfumo wa enzi za babu zetu.......dynamism is inevitable................the world is changing.....................nowonder wasee wamekwamia ldc list ya aibu duniani
LolHawa majirani wapo vyema kwenye bullying. Fanya nao kazi na awe bosi wako ndio utaona nyota.
Point yangu ni kwamba sisi tunawazidi elimu ya high school kaka, nikikupeleka advanced level ya combination ya PCB hapa bongo au combi yoyote ya sayansi asee utajuta kuzaliwa ndugu yangu. Kwa kifupi sijaona kipya kwenye shule yenu mnayoita ya upili kwa maana vyote vinasomeshwa huku O'level.Question one in kcse normally covers form one work......there's what we call paper one ,two and three in any subject...
Paper one-form one and two
Paper two-form 3 and 4
Paper 3-practicals or set book
If Ghana wins kenya becomes secondNow that the game was a draw, what next? Will Kenya still retain it's position in the list or?
Leta papers tuone mliscore nini.......kelele mingi ya nini......mmekwama kwa mfumo wa 1977 ati mnajipiga kifua.....Lol...if you add those years utapata it's one and the same thing......the difference is did you pass or fail?....period
it took him the whole day to solve one question, kama angekuwa kwenye chumba cha mtihani angefeli cos time management ni very limited kwenye chumba cha mtihani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unahamisha goli *****,swali moja umefanya siku nzima sijui umetembea shule ngapi kutafuta msaada!!!??
fanya uchunguzi wako vizuri acha kukurupuka.wanatuogopa hawawezi dhubutu kuja kusoma huku Kenya.......form 5 and 6 is a certificate or lower diploma sort of a thing
Daah kweli kaka..umenikumbusha mbali sanaa walikua wanawapeleka Uganda na Kenya halafu wakawa wakirudi na Kiingereza kingi kichwani maarifa empty. Kenya ninachokubali wanatushinda ni Kiingereza tu na ndo mana wakija huku wanakuja kufundisha Kiingereza tuu na makazini ktk maofisi wanakuja kufanya marketing sababu ya Kiingereza. Sijawahi kuona Injinia na dakitari anaeweza kuja ku compete hapa Bongo.fanya uchunguzi wako vizuri acha kukurupuka.
mid 90s mpaka mid early 2000s wazazi wengi wenye kipato cha kati hapa tz walikuwa wanasomesha watoto wao katika sekondari za kenya.
sababu pekee ilikuwa ni kukwepa ushindani mkali wa ufaulu hapa tz.hapa utapata kundi kubwa la vijana waliofeli national exams nchini tanzania kukimbiziwa kenya na kuanza kurudia madarasa.
pia wazazi wengi walikuwa wanamini kuwa kingereza ndio kila kitu so walikuwa wanaleta watoto kenya ili wapate experience ya kuzungumza/kuandika kengereza.
by then serikali ilikuwa haijaruhusu watu binafsi kumiliki shule. shule karibia zote zilikuwa zinamilikiwa na serikali na taasisi za kidini.