Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Wewe kilaza wa jiografia usinisumbue. Nairobi ikipata visiwa nitaleta picha ππ π π πKama hujui math basi andika hii namba kwa maneno ya kiswahili 10,005.
mkuu bora ungeendelea kuwa kimya kuliko kujiaibisha mbele ya wajuzi kun kuna kitu kam cos,cosh,cosec na cosechIdiots. What am trying to say is hapa kwetu tunasema cos sio ' cosh'
Zote zipo kwa maths hizo, hakuna cha hapa kwetu sijui kuna hiki au kile hakuna we sema you just have got no idea, usijitutumie you burger!Idiots. What am trying to say is hapa kwetu tunasema cos sio ' cosh'
There is no need to insult me you laggardZote zipo kwa maths hizo, hakuna cha hapa kwetu sijui kuna hiki au kile hakuna we sema you just have got no idea, usijitutumie you burger!
Of course ni poa kuliko ya kwenu. Facts don't lie. Wasomi wa Kenya hawajui kuhusu jf. Wakija hapa mnaweza kaa kimyaafu wanakazana kusema elimu yao ni bora kuliko yetu [emoji38]
Somo gani?Kama unaisifia elimu yenu ipo juu halafu umesoma mchepuo wa sayansi na hujui cosh ni nini basi wewe ni kilaza tuu.
Hebu tuwekee mtihani wenu wa kuhitimu form four ila usiwa wa somo la Kiingereza.
Umeongea ukweli mtupu! Uhondo wa hesabu chukua pen na karatasi..unachekesha au kisa umeona set na statistic apo pamoja na function yani hizo ndo z kuponea na mpaka ukutane nazo zinaenda il ukikaa vibaya nazo zinakupiga bt angalia na topic nyingne kama zinaenda mana hesabu ukiangalia kwa macho tuu mbona unapata 100
Tuletee hapa mtihani wa taifa wa form four wa chemistry wa huko Kenya ambao unawapeleka wana chuo kikuu.Somo gani?
Tuambie basi umefanya masomo gani ili tukupatie mtihani wako.Here are the papers
From what I know Kenya has more mathematicians than tz. I am the only one who never pursued maths.you can bring other papers. Si hisabati kila wakati. I am very sure majority of Tanzanians can't attempt those quizzes
Sio kwa dharau hilo wallahi. Eti anaweza kufunza chuo kikuu?Tuambie basi umefanya masomo gani ili tukupatie mtihani wako.
Hao mathematicians wengi unaowaita si ndo wale viingereza vingi kusolve sifuri.
Nakuhakikishia kua mwanafunzi aliepata daraja C katika somo la hesabu high school hapa Tz kwenye NECTA anaweza kufunza chuo kikuu hapo Kenya.
If your brain can't see your eyes can't seeGive me one thing that posta have and Westlands doesn't have...
PCB -medicine!!huwa naheshimu sana watu waliochukua mchepuko wa masomo ya PCB walipokuwa secondary. hongera sana comrade.
Kwahyo ww ni vuvuzela? Wasomi wa kenya wap hao kama we haupoOf course ni poa kuliko ya kwenu. Facts don't lie. Wasomi wa Kenya hawajui kuhusu jf. Wakija hapa mnaweza kaa kimya