Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 767
huwa naheshimu sana watu waliochukua mchepuko wa masomo ya PCB walipokuwa secondary. hongera sana comrade.Hii kwa Sisi wazee wa BAM ni changamoto. Inaitwa Advanced Mathematics na kama wewe ulifanya paper imeandikwa basic Mathematics basi Kaa pembeni
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] sasa battle ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Nipo nasubiri. Mimi nimewahu kuwa teacher wa Mathematics A-level.
Wakenya leteni solutions zenu kwenye karatasi kisha pigeni picha.
Hata hivyo kuna watu kesho wataenda kutafuta msaada. Tutajua tu kama umepewa msaada. Maana tutakuuliza maswali ya ziada.
hahahaha... hahahaha... hawachomoki round hii. shenztype wakubwa hawa.Nipo nasubiri. Mimi nimewahu kuwa teacher wa Mathematics A-level.
Wakenya leteni solutions zenu kwenye karatasi kisha pigeni picha.
Hata hivyo kuna watu kesho wataenda kutafuta msaada. Tutajua tu kama umepewa msaada. Maana tutakuuliza maswali ya ziada.
Kama hujui math basi andika hii namba kwa maneno ya kiswahili 10,005.Naomba mnifafanulie cosh ndiyo nini hasa?2@
Mimi naifahamu cos .cosh sijui ni nini.
Halafu those attachments are tootiny for normal eyes 👀 to see.
Siko vizuri kwa hisabati ila naweza jaribu
Kama unaisifia elimu yenu ipo juu halafu umesoma mchepuo wa sayansi na hujui cosh ni nini basi wewe ni kilaza tuu.Naomba mnifafanulie cosh ndiyo nini hasa?2@
Mimi naifahamu cos .cosh sijui ni nini.
Halafu those attachments are tootiny for normal eyes [emoji102] to see.
Siko vizuri kwa hisabati ila naweza jaribu
Mpaka hapo ushakosa.Naomba mnifafanulie cosh ndiyo nini hasa?2@
Mimi naifahamu cos .cosh sijui ni nini.
Halafu those attachments are tootiny for normal eyes [emoji102] to see.
Siko vizuri kwa hisabati ila naweza jaribu
hii battle imefika patamu sana...ni fire.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] sasa battle ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
hahahaha... mtafanya huyo housemaid asajiri account nyingine. maana ile ya kwanza kaisusa.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama unaisifia elimu yenu ipo juu halafu umesoma mchepuo wa sayansi na hujui cosh ni nini basi wewe ni kilaza tuu.
Hebu tuwekee mtihani wenu wa kuhitimu form four ila usiwa wa somo la Kiingereza.
Hizi differentiations nikiziona huwa napata goose bums walahi, niilikuwa naranda na wajuba wa PGM kunisaidia ili nipige tu credit ya BAM yangu ya PCB! 😱😱😱Hii kwa Sisi wazee wa BAM ni changamoto. Inaitwa Advanced Mathematics na kama wewe ulifanya paper imeandikwa basic Mathematics basi Kaa pembeni
bado narefresh screen yangu apa ila bado sioni kitu au leo kule kwao majira yamebadilika inawezekan mda huu n usiku wa mananehii battle imefika patamu sana...ni fire.
kila mtu saa hii yupo busy na simu yake kurefresh hii thread ili aone angalau mkenya mmoja akijitosa kusolve maswali ya advanced mathematics ya wanafunzi wa form six nchini tanzania.
mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wameenda kutafuta misaada hao maboya!hii battle imefika patamu sana...ni fire.
kila mtu saa hii yupo busy na simu yake kurefresh hii thread ili aone angalau mkenya mmoja akijitosa kusolve maswali ya advanced mathematics ya wanafunzi wa form six nchini tanzania.
mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Haaaaaa. vp kuhusu Pure Mathematics, Additional Mathematics na Applied Mathematics? (tofautisha na Basic Applied Mathematics). Au kwako ni misamiati tu?Hii kwa Sisi wazee wa BAM ni changamoto. Inaitwa Advanced Mathematics na kama wewe ulifanya paper imeandikwa basic Mathematics basi Kaa pembeni
hiyo kufafanuliwa adi tuderive ndo uwelewe ila kwa maelezo hutoelew imekuaje kuajeNaomba mnifafanulie cosh ndiyo nini hasa?2@
Mimi naifahamu cos .cosh sijui ni nini.
Halafu those attachments are tootiny for normal eyes [emoji102] to see.
Siko vizuri kwa hisabati ila naweza jaribu
Brother leo hii umefukuza Monkeys wote miti acha ipumue [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]nimeona yule kilaza housemaid anauliza eti cosh ni kitu gani wakati mda wote alikuwa anadai vitu vingi kwao kenya amevisoma akiwa form two.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
eti attachments are tootiny for normal eyes...... hatutaki excuses za kijinga hapa.
waende tu wakatafute backup, hatujawazuia. ila numbers don't lie.huwezi kuleta ujuaji kwenye numbers.Wameenda kutafuta misaada hao maboya!
battle imeenda next level.... hatutaki ujinga.waende tu wakatafute backup, hatujawazuia. ila numbers don't lie.huwezi kuleta ujuaji kwenye numbers.
sisi tunachotaka watuonyeshe solution walizotumia kupata majibu.
pia watuletee national exams za somo la hesabu kwa elimu ya kenya. mitahani yao ya mwisho ya form four kwa somo la hesabu.
Mtu hajui Cosh wala Sinh 😂😂😂Kakimbia, ila amekuwa mkweli atleast!eti cosh ndo nn [emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣