LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,323
- 1,089
Lets start sending the Kibera slums photos, its well known in the entire world!😱😱😱😱mmeshindia sehemu moja hata in the 5000th post..........afadhali watu waanze hata kupost weekend gigs .mnaboh sasa
The real definition of superiority in Africa. KENYA PRODUCED TWO OF IT'S CITIES!!. Know your lane. Kenya ndio kuongea hapa EAC! Just like S.A in southern Africa, Nigeria in West Africa & Egypt in the North!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 890555
Wetlands ndo mnataka kulinganisha na uchafu postaView attachment 890588
Heheee!!facts please...km tpa yenyewe ni mlishindwa ku designUkitaka kumpotezea kijana wako malengo ni umpeleke shule Kenya
Sasa huo ndo wivu tunaouongelea...tupia tena nairobi down town na dume la double stack tuskie raha
Usiringanishe grade za form 4 ya kenya na form 6 ya Tanzania. Kiukweli mtu anaemaliza form 6 Tz anajua vitu vingi kuliko wa form 4 kenya na ndio maana Kozi ya miaka 3 Tz kenya ni miaka 4.wachana na uon my friend......mediocre grades never see that gate.....tanzanians with a c can take medicine and surgery course while in Kenya you must have an A grade only
HAHAHA......Tanzanians sijui kelele huwa ya nini na gap tumewapea ya ajabu........The real definition of superiority in Africa. KENYA PRODUCED TWO OF IT'S CITIES!!. Know your lane. Kenya ndio kuongea hapa EAC! Just like S.A in southern Africa, Nigeria in West Africa & Egypt in the North!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 890555
Nilishangaa kuona vitu ambavyo tulifunzwa darasa la nne zinafunzwa kidato cha tatu huko bongo.
Mtu kama tuusan hajatembea Kenya. Haamini kwamba Kenya kuna elimu nzuri. Anaijua UDSM pekeehahaha...........i am talking of an A plain of 84 out of 84 points ............thats the qualification for direct medicine and surgery course in kenya.....hata na 83 points huwezi pata
Usiringanishe grade za form 4 ya kenya na form 6 ya Tanzania. Kiukweli mtu anaemaliza form 6 Tz anajua vitu vingi kuliko wa form 4 kenya na ndio maana Kozi ya miaka 3 Tz kenya ni miaka 4.
Grade ya mwisho kusoma Medicine bongo ni point 10 ambayo ni sawa na kupata DCC katika masomo ya PCB (Physics, chemistry na biology ). Kupata hizo points katika ACSEE sio jambo dogo kama unavofikiria
watafunguka macho tu....wengine wao ni bright sana wanajua they cant compare their village of dar to NairobiMtu kama tuusan hajatembea Kenya. Haamini kwamba Kenya kuna elimu nzuri. Anaijua UDSM pekee
kweli? tuonee wivu vitu hivyo?Sasa huo ndo wivu tunaouongelea...tupia tena nairobi down town na dume la double stack tuskie raha
But hvo hvo form 4 wa kenya akija bongo atakubaliwa chuo kikuu hta bila ya kupitia form5 na 6...jiulizeni tatizo n nn sasa hapoUsiringanishe grade za form 4 ya kenya na form 6 ya Tanzania. Kiukweli mtu anaemaliza form 6 Tz anajua vitu vingi kuliko wa form 4 kenya na ndio maana Kozi ya miaka 3 Tz kenya ni miaka 4.
Grade ya mwisho kusoma Medicine bongo ni point 10 ambayo ni sawa na kupata DCC katika masomo ya PCB (Physics, chemistry na biology ). Kupata hizo points katika ACSEE sio jambo dogo kama unavofikiria