tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Twende hapo kwenye elimu ndipo hua napapenda zaidi,social media blahblah ,umesema known code 254 ukasema nn tena nikumbusheHya prove hizo facts ni uongo.

Twende hapo kwenye elimu ndipo hua napapenda zaidi,social media blahblah ,umesema known code 254 ukasema nn tena nikumbusheHya prove hizo facts ni uongo.

UoN ranked the best university in East Africa.Defend best education how,I am waiting
Defend best education how,I am waiting
Mnajifunza nini sasa huko Kenya ikiwa hata chakula tu hamjitoshelezi maelfu ya Wakenya maskini hufa kwa njaa kila mwaka.If you want to study in E.A then study in Kenya. That what many people are told.
Nenda ukafanye utafiti utaelewa ninachosema.
HataMimi nilisomea Kenya na sijuti
Haha porojo tupu elimu yenu ipi?kabla sijahama office nilifanya kazi nawakenya kadhaa daah my fren nyie watu mnautani sijui au nisemeje hapa...in short sijawah ona mkenya yyte mwenye kitu kipya kazini au best perfomer, na hata mtoto ws my bro alisoma Kenya lakin hakuna kituIf you want to study in E.A then study in Kenya. That what many people are told.
Nenda ukafanye utafiti utaelewa ninachosema.
HataMimi nilisomea Kenya na sijuti
Attending to the school is one thing and quality of education offered is another thing!!These tendencies are illustrated in Figures 1 and 2. The first figure reflects the share of children aged 9-11 in each of the three countries who report that they are attending school. We can see that in all three cases, more than 90% of children are enrolled. This is a vast improvement. Kenya, for instance, almost halved the number of children out of school View attachment 890020
Best education systems in Africa(currently)Haha porojo tupu elimu yenu ipi?kabla sijahama office nilifanya kazi nawakenya kadhaa daah my fren nyie watu mnautani sijui au nisemeje hapa...in short sijawah ona mkenya yyte mwenye kitu kipya kazini au best perfomer, na hata mtoto ws my bro alisoma Kenya lakin hakuna kitu
So the questions come ,chuo kikuu cha Nairobi kina uwezo wa kudahili kila kijana mwenye sifa Za kusoma chuo kikuu?je katika ajira usiposoma UoN haupati kazi?Je vyuo vingine Kenya ni substandard havifai?UoN ranked the best university in East Africa.
The University of Nairobi has been ranked as the top higher learning institutions in East Africa, in the latest ranking by Times Higher Education (THE) University Rankings 2018.
The university shared the third position in Africa with Mansoura University (Egypt), University of Marrakech Cadi Ayyad (Morocco) and Suez Canal University (Egypt).
They were all placed under the category of 201–250 globally and shared an overall score of 19.9–25.0.
The UoN’s top ranking was fuelled by its improved teaching and research environments, citation impact and international outlook.
With an overall score of 76.7, Hong Kong University of Science and Technology was ranked the world’s best young university for the first time in 2018, beating Switzerland’s École Polytechnique Fédérale de Lausanne, which came second (76.1) after enjoyed the top place for three years in a row.
The third place went to Nanyang Technological University in Singapore with 74.7.
This year’s rankings included 250 of the world’s best young universities, up from 200 in 2017. From the list, only seven best universities in Africa were ranked.
South Africa’s University of KwaZulu-Natal was number 1 in Africa and 83 globally with an overall score of 43.2. Second place was a tie between Beni-Suef University (Egypt) and the University of Johannesburg which had an overall score of 33.2–40.0 and the two were placed on the category of 101–150 in the world rank.
Prof Peter Mbithi, UoN’s vice-chancellor congratulated the university community for the achievement.
“This performance is a reflection of the true spirit and philosophy of the University of Nairobi,” said Prof Mbithi.
Un wanajuwa ya kwamba 30m tanzanians are poor..maskiniMnajifunza nini sasa huko Kenya ikiwa hata chakula tu hamjitoshelezi maelfu ya Wakenya maskini hufa kwa njaa kila mwaka.
Labda kuzungumza Kingereza.
Kuna wengine humu jf wamesomea kenya.kubali tu yaisheHaha porojo tupu elimu yenu ipi?kabla sijahama office nilifanya kazi nawakenya kadhaa daah my fren nyie watu mnautani sijui au nisemeje hapa...in short sijawah ona mkenya yyte mwenye kitu kipya kazini au best perfomer, na hata mtoto ws my bro alisoma Kenya lakin hakuna kitu
Izo ni rank kutoka chanzo gani my fren?what I know ofcz yes Zimbabwe wako sawa sana kielimu na S.A.Best education systems in Africa(currently)
Your poor country is nowhere to be seen I.e among top 10
1.Zimbabwe
2.Equatorial guinea
3.south Africa
4.KENYA
How did Kenya manage to become no. 4.?
Tulipeana kitu kidogo kama mnavyosema?
Najua uzalendo inakuwasha lakini itabidi ujifunze kukubali facts bure utajinyonga bureDefend best education how,I am waiting







Dar 10-0 Nai
Mbona mm sikusoma Kenya broKuna wengine humu jf wamesomea kenya.kubali tu yaishe
Usiwe kama kiazi kwani wakenya wote mmesoma UoN?Au watz wote tumesoma UDSM?Najua uzalendo inakuwasha lakini itabidi ujifunze kukubali facts bure utajinyonga bureView attachment 890036View attachment 890037


bro. I think you need to do a research on Kenya. Did you know Kenyatta University was ranked ahead of Dar University!? Plus there are super higher international universities & schools which are ranked high in the continent such us The USIU! People come from West & South Africa to these Universities.
Acheni kushindana na ndovu nguvu na nyinyi ni sunguraSo the questions come ,chuo kikuu cha Nairobi kina uwezo wa kudahili kila kijana mwenye sifa Za kusoma chuo kikuu?je katika ajira usiposoma UoN haupati kazi?Je vyuo vingine Kenya ni substandard havifai?





Alafu hizi ranking hua zina ups n down mfano cape town university imeongoza sana kwa kipindi kirefu lakin naona pumzi imekata!!Najua uzalendo inakuwasha lakini itabidi ujifunze kukubali facts bure utajinyonga bureView attachment 890036View attachment 890037
We have UDSM, SUA, HKMU,MUHIMBILI UNIVERSITY, UDOM ,Mzumbe university huwez zikosa kwenye iyo rank yako ya vyuo 200bro. I think you need to do a research on Kenya. Did you know Kenyatta University was ranked ahead of Dar University!? Plus there are super higher international universities & schools which are ranked high in the continent such us The USIU! People come from West & South Africa to these Universities. Acheni kushindana na ndovu nguvu na nyinyi ni sungura
View attachment 890042


No but mwanzoni uliuliza nini? You wanted prove that Kenya leads in Education na nimekupea in details infact KU is another University ahead of the 1st Tz University in the list. Kuwa mngwana na ukubali matokeo. #Pambaneni na hali yenyu kwanza.











Usiwe kama kiazi kwani wakenya wote mmesoma UoN?Au watz wote tumesoma UDSM?