Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiukweli Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza Nairobi inaweza kuwa na vijumba kama hivyo!!
Usilo lijua ni usiku wagiza
Ndio Ujue hivyo
nikwamba Uchumi wa Kenya umeshikiliwa na watuvwachache
wakenya waasili Hawana lolote.
Na hao unao waona kwenye Hizo Slum
wengi hawana ardh yakujenga
imesha chukuliwa na mabepari,
Kupata Ardhi yakunenga Nairobi mkenya wa kawaida ni ndoto
wewe utaishia Kibera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…